Binamu haujaelewa ujue yaan hiyo safari wewe ndio umenipeleka kwa mganga ujueHa hahaha, kwa mganga kweli tulienda lakini tulifukuzwa kama wezi maana anko alimtongoza mtoto wa mganga hata kabla shida yake hajasikilizwa
Sio visikiViaziiiii
Ahsante mdau
Umeona eheeMbona unajitoa tena na wakati lenu moja
Nimeona shemela bada ya me kuonekana anajitoaUmeona ehee
MzeewakungoaHa hahahahaa wewe kweli mzee wa kung'oa
Ha hahaha, kwa mganga kweli tulienda lakini tulifukuzwa kama wezi maana anko alimtongoza mtoto wa mganga hata kabla shida yake hajasikilizwa
Anasema na simu anayo mama ashuraBinamu wewe sio wa kuniandika me kuwa mbaya wako kweliii unakiuka makubaliano tuliyokubaliana nashkuru binamu msalimie mama ashura unapochaji simu
Ooooooh polee fanya urudiiiii ....usisahau uthibitishoKweli nilimalizana nao kilichotokea jana nimeona hawajazilinganisha ni nyingi sana zipo fupi mtu unatoa hela nyingi halaf wanakufanyia vituko nikampigia boss wao usiku nikamwambia sijapenda mbona hivi na hivi akaniambia basi njo kesho turekebishe
Binamu haujaelewa ujue yaan hiyo safari wewe ndio umenipeleka kwa mganga ujue
Eti eeeenh????Viaziiiii
AsanteeeLol! Yaani anko tangu nimwambie tu twende kwenye kisomo basi kishaniona mshirikina kweli, loh! Ngoja nikatete naye nimwambie ni kwa sababu tu ya penzi la ukweli ulilonalo kwake, yaani hadi anajionea wivu, akiwa anaongea na wewe masikio yake yanauonea wivu mdomo. ukianza kula kirungu mpweke ....hivi naandika nini sasa utasema mimi niko feri navua
Inawezekana eheeHata mkiwa chemba nawasikia mjue.... Huko hataenda habari zangu.. Atakupa habari zake... Ukizubaa tu unakuwa mchepuko wa kumi.... Ha ha ha ha ha
HaipoooooHivi safari ya kg ipo
Mbaya wetuuuKwamba ni Rafiki yako kipenz
Binamu si unamjua shemelaAnasema na simu anayo mama ashura
Ukimwaga mboga mimi namwaga ugariHata me nashangaa ungejua nikiwa nae anakusema sana binamu
Upi Baba D nikiwa huko auOoooooh polee fanya urudiiiii ....usisahau uthibitisho
Hivi safari ya kg ipo