...aunt gudu moningi, hivi saa hizi saa ngapi? Mimi bado nimelala sijaamka? Kuna jipya gani humu kwani maana naona ukunguukungu tu.
Mimi na wewe shangazi tunajaliana sana, hatuwezi kusemana kwa ubaya, ukiona nakusema vibaya ujue simu sinayo nimeipeleka chaji