Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,268
Umejua je!Jamaa ni kama Dimpoz halafu ana mkono wa sweta.....
Umejua je!Jamaa ni kama Dimpoz halafu ana mkono wa sweta.....
teh teh teh...kumbe nimekosa.Hahahahaaa.... Hapana braza, umekosa.
Hii michezo ya baba na mama nilikuwa naipenda sana.Baba na mama
![]()
![]()
Hapana kaka, haiwezi tokea maana bado nampenda sana hata yeye ana upendo mwingi sana kwangu.Spendi kuachana kaka
Hahaha...wala hakumaindi lakini...Achana nae huyo, jifunze kumzoea.
Duuh...Umejua je!
Wewe si uliaga hapa au?
Nilivyomsaidia aggyjay kuzima taa alinipa mkanda mzima.Umejua je!
Kumbe we mchawi, umevunja ndoaNilivyomsaidia aggyjay kuzima taa alinipa mkanda mzima.
Kumbe jamaa mambo mengi sana yuko zero ila shemdarling anamfichia siri isijekuwa aibu mtaani.....
Ha haa bora umejistukia
Kila kitu kina wenyewe braza.Hutaki presha?
Huko nimeacha kabsaa, wachie jimena na bitoz
Hilo tu usiogope,nitaiba funguo nikupeKesho basi utaniazima passo yako nikang'olee, kuna katoto nimekaona leo siku ya wafanyakazi kameugusa mtima wangu....japo mimi ni mfanya kazi hewa ila nitaapply tu huwezi jua!
Bora ivunjike tu.Kumbe we mchawi, umevunja ndoa
Hapa ndio Kapuku forumWewe si uliaga hapa au?
Sawa kijana.![]()
![]()
![]()
![]()
Haya bwana.
Maana alisema ameanza kurembua usingizi sasa nashangaa bado yupo humuHapa ndio Kapuku forum