ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,104
Sasa wewe unapenda nini???Mkuu huwezi amini, yaani si mpenzi wa mpira tangu niko mdogo.
Au kombolela!!
Sasa wewe unapenda nini???Mkuu huwezi amini, yaani si mpenzi wa mpira tangu niko mdogo.
Achana nae, najua ni kijana wangu youngblood a.k.a mvizia wake za watu.Asante...japo nimemfnyia mtu hujuma
Ulikuwa unachezea udongo utotoni weweMkuu huwezi amini, yaani si mpenzi wa mpira tangu niko mdogo.
pole...utakuwa unapenda ule mpira wa....Mkuu huwezi amini, yaani si mpenzi wa mpira tangu niko mdogo.
Hahahaaa... Labda hiyo, na yenyewe ni kidogo sana.Sasa wewe unapenda nini???
Au kombolela!!
Kwahyo unatakaje bro.Oyaa... stuka wewe. Yaani unamiss hadi wanaume?
[emoji15] Udongo tena?Ulikuwa unachezea udongo utotoni wewe
Karibu mkate na samakiHabari za usiku kapuku....
Miss you saana dah....
Kijana wangu youngblood nimekukumbuka Mzee Wa kuzima taa....kapuku mwenye likes nyingi kuliko post
Kwani kaachwa?Kwahyo unatakaje bro.
Naomba stress za kuachwa na aggyjay usiniletee mimi.
Nimeshavurugwa tayari[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] .
Hahahahaaa.... Hapana braza, umekosa.pole...utakuwa unapenda ule mpira wa....
Au michezo ya watoto wa kike kam kupikapika.[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji481] [emoji3]Ulikuwa unachezea udongo utotoni wewe
Ndo ushangae braza.Kwani kaachwa?
Ha haa bora umejistukiaIla kweli mtu nakaa kwa shemeji afu namsemea umbea...kausha shem sisemi!
hakika...ni yeye.Achana nae, najua ni kijana wangu youngblood a.k.a mvizia wake za watu.
Spendi kuachana kakaNdo ushangae braza.
Baba na mamaAu michezo ya watoto wa kike kam kupikapika.[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji481] [emoji3]
Jamaa ni kama Dimpoz halafu ana mkono wa sweta.....Kwani kaachwa?
Achana nae huyo, jifunze kumzoea.hakika...ni yeye.