EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Kupost 25k.Hongera ya nini?
Kupost 25k.Hongera ya nini?
Hapo ulipo uko na mmeo?Hebu weka picha
Ametishaa.... Ila nimeshampa mwongozo wa timu gani za kushabikiaHata mtaani huna timu?
Wapi huko unakomwambia atuachie sieHutaki presha?
Huko nimeacha kabsaa, wachie jimena na bitoz
Uwe na usiku mwemaLeo nimeanza kurembua mapema sana.....![]()
![]()
![]()
Ushabiki wa mpiraWapi huko unakomwambia atuachie sie
Mbona swali rahisi sana hilo braza.Aisee mbona mnauliza maswali magumu sana.
Nawe pia mkuu...Uwe na usiku mwema
Karibu kwa jina la Yesuwapendwa nawasalimu katika jina la Jonax
Atalowana******Hapo ulipo uko na mmeo?
Ni jibu kwanza, kama uko mwenyewe naogopa utalowana

Mzima wewe?wapendwa nawasalimu katika jina la Jonax
Mtafute mshana jrMbona swali rahisi sana hilo braza.
Mkuu huwezi amini, yaani si mpenzi wa mpira tangu niko mdogo.Hata mtaani huna timu?
Brother nilikumis sana.wapendwa nawasalimu katika jina la Jonax
Ngoja akirudi mjini ntamuuliza.Mtafute mshana jr
Asante...japo nimemfnyia mtu hujumaKupost 25k.
Oyaa... stuka wewe. Yaani unamiss hadi wanaume?Brother nilikumis sana.
Hahaha....ila umekosea kwenye muongozo.Ametishaa.... Ila nimeshampa mwongozo wa timu gani za kushabikia