Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,049
Aisee mbona mnauliza maswali magumu sana.Kijana youngblood hebu tupe jibu.
Aisee mbona mnauliza maswali magumu sana.Kijana youngblood hebu tupe jibu.
Kasoro mimi tu.Baridi inamtesa, anaogopa kuamshiwa wadudu na vijana hapa
Haa haaahaah tumeshukuru kwa kidogo tulicho kipataNaona leo timu yako imetoa sare
Timu bora yenye maono ya kimataifa.Poa kwa lipi??
Leo ni raha sana, yani Mechi zote zimeleta matokeo mazuriWashakaaaaaaa
![]()
![]()
![]()
![]()
.................
Hee? Mi sina timu, sio mshabiki wa mpira hata kidogo.Timu yako
Jimena asante, wajua majukumu ni mengi, nikimaliza kuhudumia kondoo, nikirudi home sweetie naye anataka nimuhudumie ile huduma ya usk, so mengi yananipitaWe fake pastor yani hata sijui uko dunia gani?? Mbona jamaa alishaleta mrejesho kwenye uzi mpya kuwa amempata Valentina
Hata mtaani huna timu?Hee? Mi sina timu, sio mshabiki wa mpira hata kidogo.
Hutaki presha?Hee? Mi sina timu, sio mshabiki wa mpira hata kidogo.
Hebu weka pichaJimena asante, wajua majukumu ni mengi, nikimaliza kuhudumia kondoo, nikirudi home sweetie naye anataka nimuhudumie ile huduma ya usk, so mengi yananipita
Aggyjay

![]()
Nshakwambia huyo mtoto humuwezi, ni wa kwangu peke yangu.

Hawawezi kurudisha zote. Lazima wakae![]()
:
![]()
.............
Salama kabisa kiongozi, habari ya usiku huu?salaam waungwana, natumai mpo wazima ..
Unakosa adabu, wato..oza dada.gu mbele yanguNataka tuchepuke kidogo mimi na wewe.
Mzima sana.Njema saana mkuu..
Mkeo mzima???

Anza sasa kuishabikia Yanga kwa nyumbani, Man United kwa uingereza na Real Madrid kwa hispaniaHee? Mi sina timu, sio mshabiki wa mpira hata kidogo.