EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Pole sana kijana wangu.Leo nimeanza kurembua mapema sana.....![]()
![]()
![]()
Pole sana kijana wangu.Leo nimeanza kurembua mapema sana.....![]()
![]()
![]()
Nilisema narembua bro.Wewe si uliaga hapa au?
Nilichelewa sana kujua mambo ya mpira.Anza sasa kuishabikia Yanga kwa nyumbani, Man United kwa uingereza na Real Madrid kwa hispania
Karibu kwenye ulimwengu wa soka
Na musolin5 ni kapuku mwenyeweHapa ndio Kapuku forum
hahahaha....Maana alisema ameanza kurembua usingizi sasa nashangaa bado yupo humu
Utashangaa yupo mpaka saa tanohahahaha....
Mbona ni kawaida sana, hata mtaani wapo wengi kama mimi.Ametishaa.... Ila nimeshampa mwongozo wa timu gani za kushabikia
ni kweli mkuu...Na musolin5 ni kapuku mwenyewe
Wape ushauri kama huo niliokupa wewe na hawatajutaMbona ni kawaida sana, hata mtaani wapo wengi kama mimi.
Hilo sio tatizo, fanya kama nilivyokwambia basiNilichelewa sana kujua mambo ya mpira.
Kumbe na wewe unamjua eeh... Ndio zake hizoUtashangaa yupo mpaka saa tano
Sio mara ya kwanza hiiKumbe na wewe unamjua eeh... Ndio zake hizo
poua mkuu, jumapili imeendaje kwako?Salama kabisa kiongozi, habari ya usiku huu?
Nahrene yuko wapi?Brother nilikumis sana.
teh teh teh...kupanga ni kuchagua...Utashangaa yupo mpaka saa tano
Mkuu nimekuomba unisamehe nilitelezaUwe na usiku mwema
Hahah umenena vyemateh teh teh...kupanga ni kuchagua...