EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Tabiri tena braza.teh teh teh...kumbe nimekosa.
Tabiri tena braza.teh teh teh...kumbe nimekosa.
Natamani unijibu niwe free plizKumbe na wewe unamjua eeh... Ndio zake hizo
Mambo gani tena hayo braza?Hii michezo ya baba na mama nilikuwa naipenda sana.
Yani nikiingia kichakani sitoki mpaka nimalize mambo yangu.....
Basi sawa.Hahaha...wala hakumaindi lakini...
Kukujibu nini mkuu?Natamani unijibu niwe free pliz
Jamaa bado anapenda kuchat.Wewe si uliaga hapa au?

Kukujibu nini mkuu?Natamani unijibu niwe free pliz
Mchezo wa rugbyTabiri tena braza.
Hahahaha apumzike kwa amani sasa
Ndoa bado ipo kaka.Kumbe we mchawi, umevunja ndoa
Kama hujaona potezea tu dadaKukujibu nini mkuu?
Kwendraaa... huko.Bora ivunjike tu.
Hapo mimi sioni faida yake kama brother jongoo hapandi mtungi.
Ndio ulisema.Nilisema narembua bro.