Ndio nimemaliza ya pili sasa hivi asante sana aisee huyu dr asha hawezi kujitoa kwa mr x ila huyu mr x ni naniii na kule kwa zai alipompora babu bubu mkewe na mtoto wake hii story nayo kuna mda inachanganya
Isidingo inaendelea najua usawa wa anko hali ngumu viti virefu havikarikiii ...na mm kwa nini sikupotezee mda wakooo.....Shubaaaaamiiiitiiiii twende sawaaaaa
....aiseee, kumbe umeungana na aunt yangu kunichafulia cv kwa kipenzi changu, kipenda roho, switihati, apple pie, wali ndondo, uji kwa mgonjwa yaani la habibti husna muba
Uzuri keshasema msifukue makaburi na pamoja na mifupa yote iliyokabatini kwangu bado tunaloviana sana.
Hakuna niliyekuwa namuamini kwa kunitkia mema kama wewe aisee, umepatwa na shetwain gani au shaniatwain