Makapuku Forum

Kwahiyo sio mkewe wewe mbona alitwambia anamleta mkewe tumuone kama mpaka hapa mondray anakukataa kweli una nyota ya kitumbua [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahahahahaaa hapana sio mimi acha kwanza amalizane na issue za PM then atakuja hapa kukujibu mwenyewe.....nyota ya kitumbua ndo ipoje hiyoπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Cc Mondray
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…