Looserfools fc sio wa kuwaekea dhamanaMkeka wangu ulichanwa mapemaaa na livafool
Hongera ya nini?Hongera braza.
Nikimbie nini tena Mkuu?Nawe wataka kuikimbia!
Yule aliyeanzisha uzi kua anakufia sana japo sio msalabani!Hee! Yupi tena
Salama mandelaa, mambo vp?salaam waungwana, natumai mpo wazima ..
wapigwe tu![]()
Saints:
Man Village
Sadio Mane HAT TRICK
![]()
![]()
![]()
![]()
......................
Timu yakoNikimbie nini tena Mkuu?
Poa kwa lipi??Hilo mbona rahisi mkuuu...Azam Fc iko poa
Kijana youngblood hebu tupe jibu.Alete jibu hapa
Naona leo timu yako imetoa sareMkuu.....
Ila mtoemo youngblood maana sio mwanamke huyo. Ni dume kabisa.Hahaha, kweli ke wanapenda kudanganywa ukiwaambia kweli pendo lapungua
Wafungwe tu city maana hakuna namna nyingine![]()
Saints:
Man Village
Sadio Mane HAT TRICK
![]()
![]()
![]()
![]()
......................
Baridi inamtesa, anaogopa kuamshiwa wadudu na vijana hapaMimi mbona namwelewa sana huyo!
Nataka tuchepuke kidogo mimi na wewe.Hajambo sana,tuko tunapata gahawa kidogo
WashakaaaaaaaWafungwe tu city maana hakuna namna nyingine
Ha haaa hakuna cha takrima wala mbembelezo wowote. Na ole wako useme