Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Baba D nashkuru baba angu kwa kunifukuzia sakayoAsanteni kwa muda wenu... Muwe na jioni njema
Baba D nashkuru baba angu kwa kunifukuzia sakayoAsanteni kwa muda wenu... Muwe na jioni njema
Kwani ni kustarehe au kaziPori huwa hatuendii kipindi cha jua kalii
KaribuuSalama kabisa!
Somalia kuna waganga wengii ...ndo waendaa kufanyajee sasaMie naenda Somalia... Usilazimishe niende Darfur aliko mume wangu
Hivi una nini jamaan Baba DMwingine yupiii sasa
NdiooEeehh
Usijali mdogo wangu, mie nitarudiBaba D nashkuru baba angu kwa kunifukuzia sakayo
Kivipiii mm nimeulizaa maswali ya msingii na ya sekondary nimeyaachaaBaba D nashkuru baba angu kwa kunifukuzia sakayo
Nakujua sana ila Baba D angejua asingekutaniaUsijali mdogo wangu, mie nitarudi
Na mm namanishaa kazKwani ni kustarehe au kazi
Kuwahubiria waamini kuwa Yesu ndo mwokozi wa maisha yaoSomalia kuna waganga wengii ...ndo waendaa kufanyajee sasa
Basi hayo maswali ya msingi ndio umemfanya aageKivipiii mm nimeulizaa maswali ya msingii na ya sekondary nimeyaachaa
T wangu akirudi ndo mtanionaUtarudiii baadae eti
Kuna nn jamaniiNakujua sana ila Baba D angejua asingekutania
AmeeeenKuwahubiria waamini kuwa Yesu ndo mwokozi wa maisha yao
Mmmmmmh ujue walienda wengi wakashindwaaKuwahubiria waamini kuwa Yesu ndo mwokozi wa maisha yao
Hiki ndio ulichokifanya Baba D mtu mpaka anaagaT wangu akirudi ndo mtaniona
Kuna nn jamanii
Majaribu ujue sio mtajiiiT wangu akirudi ndo mtaniona
Mie sio wengi... Imani nilonayo yaweza kuhamisha milimaMmmmmmh ujue walienda wengi wakashindwaa