Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Ili unigeuziee kibaooEbu nikumbushe jamaan kwani niliongea nini eti
Ili unigeuziee kibaooEbu nikumbushe jamaan kwani niliongea nini eti
Baba D nimecheka jaman nakugeuziaje kibao sasa ujue sikumbuki niliongea niniIli unigeuziee kibaoo
Akijaa na kuona atakukumbushaBaba D nimecheka jaman nakugeuziaje kibao sasa ujue sikumbuki niliongea nini
Akijaa na kuona atakukumbusha



binamu obe kama niliandika tofauti ni anko wako ndio alishika simu yangu
Ila wewebinamu obe kama niliandika tofauti ni anko wako ndio alishika simu yangu
Nimefanyaje baba d jamanIla wewe
Binamu katekwaaBinamu yangu mimi apa na baba d wangu ukuje jaman tumekumiss tu
Naomba hizi nyimbo jaman service ya fally ipupa na pana ya tekno
KafumaniwaaaBinamu obe najua leo umeshaanza week end huko ni mwendo wa balimi au safari lager ukuje jaman
NakupendaaNimefanyaje baba d jaman
Ukorofi huo na mumeoAhahha hapana aisee D siwezi muanika jf Baba angu acha hao na watoto wao wasiowabadili
Nawaonaandio mana hawawezi kuwabadili
Nshakuweka ww ni mbaya wetuEbhu tuache wasiniweke kwenye list