Sasa nimeelewaHeshima kwako kapuku mwenzangu
Mtaani kwetu Jana tanesco walifanya yao na HV vitecno vyetu vya kuchaji kila siku basi ilikuwa majanga tu
Km kawaida mi sio mzee Wa kuskip page so ukiona naquote SMS ya mwaka juzi ukae kimya tu
OK muwe na asubuhi njema wote especially binamu Wa Lee mpendwa/mpenzi Wa Mimi DJ Wa makapuku Mimi penda sana wewe mutu kwakweli
Best moments
atawagonga wachezaji wote
Na kweli mkuuNdo mambo ya week end
Sio kila siku siasa,uchumi na intelejensia
....
Lahaula
Giggy ndo anayeuza
.....
Nafikiri kuna tangazo nimeona8/Toolz Oniru
Jina lake halisi ni Tolu Oniru
Amezaliwa Julai 6 mwaka 1982
<Ni mwendeshaji wa vipindi vya redio na luninga machachari huko nchini Nigeria yaani ni kama Salama Jabir wa Planet Bongo anavyokimbiza huku kwa Wadanganyika
Ana elimu ya Shahada ya kwanza(Degree in Business and Mass Communication}
Hivyo vipindi anavyoviendesha habahatishi
............
Yaaaah ..jamaaa kashampikuu Bill
6/Daniella Okeke
Amezaliwa Machi 26 mwaka 1987 huko kwa Muhammadu Buhari
Huyu ni binti wa Kinigeria
Ni msanii chipukizi wa Nollywood anayewatetemesha akina Rita Dominic alianza na spid kama ya Jennifer wa Kanumba
Filamu inayomtambulisha ni Lagos Cougars ila pia kuna Luke Of Liers
..............
Zitaendelea baadaye
Mm nimeanza na kuku wanne cjui ntawezaKuku 8
Kanga 1
Bata 4
Mtaji kabisa huo ndio maana uliacha kuvua kambale
Bo fine cheFine Mr, and you
Maudenda yawatoke tuKweli leo ni mwendo wa supu