Makapuku Forum

Makapuku Forum

Chelsea Vs Bayern Munich (2-3) All Goals & Extend…:

Thanks mdau ....Niweke ushabiki pembeni nilichokiona leo Anthony Conte anayo kazi ya kufanya mpaka hapo atakapo pona Tiemoue Bakayoko kushirikiana na Ng'olo Kante katika mfumo wake... Bila hivyo roho ngumu pekee ndio itadumu kwenye mapafu ya Cesc Febrigus katika ile 3:5:2..until further notice wanasema wahenga.....

Katika mchezo ulioisha na huu.... Wanachokikosa Chelsea ni mtu wa kufanya kazi ya Matic, sababu Febrigus anafanya kazi yake na Kante anajikuta ana double work..........

...Ukimuchekiii Toliso unagundua ndio sababu ya Conte kuilaumu kamati ya usajili ya Chelsea kumuacha aende Munich kutoka Marseille wakati alikuwa kwenye mipango ya Kocha....weka kumbukumbu sawa mdau moja ya tageti ya Conte alikuwa kwenye list

Ila uzuri bado Chelsea wana kitu kizuri katika timu yao..... Bila Hazard, Bila Pedro, Bila Matic, Bila Costa, Bila Bakayoko na bado rhythm ya timu ipo juu, Bado nawapata nafasi ya kuwa title contender next season.
 
Hapo kwenye ubingwa sidhani japo inawezekani
Next season natabiri japo siyo Sheikh Yahya mtapata ugumu kutetea taji
....
 
Bila shaka utakua kocha wa Timu ya shule au ngedere BTW upo vzr kwa uchambuzi..
Thanks mdau ....Niweke ushabiki pembeni nilichokiona leo Anthony Conte anayo kazi ya kufanya mpaka hapo atakapo pona Tiemoue Bakayoko kushirikiana na Ng'olo Kante katika mfumo wake... Bila hivyo roho ngumu pekee ndio itadumu kwenye mapafu ya Cesc Febrigus katika ile 3:5:2..until further notice wanasema wahenga.....

Katika mchezo ulioisha na huu.... Wanachokikosa Chelsea ni mtu wa kufanya kazi ya Matic, sababu Febrigus anafanya kazi yake na Kante anajikuta ana double work..........

...Ukimuchekiii Toliso unagundua ndio sababu ya Conte kuilaumu kamati ya usajili ya Chelsea kumuacha aende Munich kutoka Marseille wakati alikuwa kwenye mipango ya Kocha....weka kumbukumbu sawa mdau moja ya tageti ya Conte alikuwa kwenye list

Ila uzuri bado Chelsea wana kitu kizuri katika timu yao..... Bila Hazard, Bila Pedro, Bila Matic, Bila Costa, Bila Bakayoko na bado rhythm ya timu ipo juu, Bado nawapata nafasi ya kuwa title contender next season.
 
5/Isabella Stewart Gardner Museum Robbers
54eb63626410cbdc2be2d449ff407722.jpg
939681d7ea80ae88781e364fbfb94aec.jpg
78ae12f89ed12b075eec1a74ad1a9c57.jpg

Mwezi March 1990 wezi wawili walijifanya ni maofisa Polisi wa Boston na hivyo kuingia kiulaini katika makumbusho ya Isabella Stewart Gardner na kukomba vitu na picha vya sanaa vyenye thamani ya USD Milioni 500wakatoka nje na kutokomea kusikojulikana
Baadaye ikatangazwa bingo ya USD 5 Milioni kwa atakayefanikishwa kukamatwa kwao lakini hadi leo bado kimya tu kama vile wahalifu walitoka sayari nyingine

........ .
 
4/The School Of Turin
db35f25c7eb65b845632f5bcdd654093.jpg
3f8ae1aafda1070218ad340962299aac.jpg
4adbc76402acbca912f018df9c0f7e59.jpg
Mwezi Februari huko School of Turin Leonardo Nortobatolo aliongoza genge lake la kihalifu kufanya tukio la kihistoria
Jamaa aifanikiwa kuingia kupitia dirishsni kisha kuwafubgulia na wenzske watatu na kuingia kwenye sehemu ya kutunzia vito na fedha Vault baada ya kufanikiwa kuvuka viunzi kibao na hivyo kufungu vibox 123 kati ya 150 na kutokomea zao kiulaini kama vile wanateleza kwenyebarafu !!
...........
 
3/Baker Street Burglary
982d311fccdb4b018c277d5e37124c42.jpg
83bb029f7be4ee549a8c764427204d5f.jpg

Hii ilitokea huko London 1971 ambapo genge la wahalifu lenye vifaa vya kisasa lilifanikiwa kutoboa tundu(handaki) katika sehemu ya kutunzia Vito/fedha katika Lloyds Baker Street Bank Vault na kukwapua fedha/vito vyenye thamani ya Pauni 3 Milioni kipindi hicho ni pesa nene huku bongo tu Shilingi 100 ilikuwa inatamba sokoni
Polisi hawakufanikiwa kuwakamata
Miaka miwili baadaye wakakamatwa watu na kuunganishwa kwenye kesi bila ushahidi wa kutosha
b839db02f4069901e6828570310722dc.jpg
Hii ni muvi inayozungumzia tukio hilo
..........
 
2/The Pink Panthers
6cecf55c7532ebeec2fab025979af0d9.jpg
50ecfb0c3c7f76bf0de171df5d447910.jpg
Hili ni genge la kihalifu huko Serbia ambao Polisi Wa mKimataifa(interpol) wanaamini linahusika na wizi wa Vito vya madini vya thamani kubwa sehemu mbalimbali duniani kwenye matukio yaliyoweka historia
Kwa mfano mwaka 1993 waliiba dhahabu huko London yenye thamani ya Pauni 500,000
Ila eamefanya matukio mengi tu babu kubwa
6dbd213a1e8da0dd5d1e7575d0c2bb49.jpg
Hii ni muvi inayowaelezea japo inachekesha
..........
 
1/Albert Spaggiari
64a1803c3dc9ca96ff6005fcff9d65c3.jpg
8436557198f93b688badf2bff4e3cd3a.jpg
Kitaani jamaa alionekana kama tozy fulani hivi au mboga saba tu ila kumbe jamaa ni habari nyingine
Huyu kibaka ndo baba lao yaani kibaka kiwango cha SGR
Yeye yupo tofauti na wenzake maana pia ni tapeli aliyekubuhu
Alikuwa ni mpiga picha supastaa hivyo hakuna aliyemtilia mashtaka kana jamaa ni kibaka
Tukio linalokumbukwa ni lile ambao 'alichora ramani' na kuwatafuta watu wa kushirikiana nao na kufanikusha wizi uliotikisa Ufaransa na dunia kwa ujumla
Alifanikisha tukio la kuiba katika Vault ya kuhifadhia vito huko Ufaransa na kisha kuandika maneno ukutani Bila silaha,bila vurugu hii ni sababu walichimba shimo/handaki chini na kufanikiwa kuingia ndani na kisha kutoboa ukutani kwenye vault na kufungua viboksi takribani 400 vyenye thamani ya pesa ya Ufaransa Milioni 60
Siku aliyokamatwa wananchi wa Ufaransa walipigwa butwaa yaani ni km Idrisa Sultan au Kifesi ashikwe kwenye tukio kubwa la ujambazi
13fc793b649cc17c228c24da390d6d61.jpg
4abc0dcdabb22383abedd17c39e5f38a.jpg
]
f1ac81aab6d9472a58b5c341ace4e558.jpg

.
.
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
.............
 
Asante bitoz kwa kumi kubwa
 
Upo sahihi mdau
Hata maelezo yako haya mafupi tu mtu atakuelewa
Tena kule jukwaa la Intelejensia huwa sikosi kusoma thread zako
Bahati mbaya kwa hapa Makapuku watu wa kariba yako wapo wachache
.......

Makapuku haijawahi kuwa na bahati mbaya, hilo la kwanza. Uwepo wake tu hapa kama ilivyo mimi, wewe, yule na hata anayesoma unalifanya jukwaa hili kuwa zuri na la kipekee na ni bahati mbaya sana kwa ambaye hatembelei hapa😀
 
Upo sahihi
Kila nmoja ana umuhimu
Nilizungumzia watu wa mambo ya Intelejensia kama jamaa(Elyer) ndo wapo wachache ndo maana michango ya aina hiyo ipo michache
.......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom