Makapuku Forum

Makapuku Forum

Anafanana na jamaa aliyeigiza the great dictator ya Charlie Chaplin
2735e1238a4622d916834b8b9843ae83.jpg
95bb6f98d16e96f3e1935fc409e08974.jpg
Real
Umenifanya niheke nikikumbuka vituko vya hii muvi

Halafu jana Man Utd tumefungwa goli la kizembe
......
 
Leo katika Historia:

1965 - Jose Luis Chilavert anazaliwa.
Golikipa wa zamani wa Paraguay.
Alikuwa mashuhuri sana kwa kupiga free-kick na moja kati ya magolikipa waliokuwa wanafunga sana magoli.
HBD Jose Luis chilavet
 
Sina la ziada tukutane tena kesho, kwa udhamini mnono wa yule mbabe aliekuwa anapiga milioni kila dakika ambapo basi tukio hilo la kihistoria linatimiza mwaka siku ya leo toka kugundulika

Ila kumbuka sio kila dakika ni milioni japo kuna dakika zingine zina mamilioni

Niite Jimena Jimenes

Hasta la Vista!!
Asante ankali kwa historia bora kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom