Makapuku Forum

Makapuku Forum

IMG-20170727-WA0008.jpg
 
[emoji524] Bwana asubuhi utaisikia sauti yangu, asubuhi nitakupangia dua yangu na kutazamia

Maana huwi Mungu apendezwaye na ubaya mtu mwovu hatakaa kwako

Wajivunao hawatasimama mbele ya macho yako unawachukia wote watendao ubatili

Utawaharibu wasemao uongo Bwana humzira mwuaji na mwenye hila

Bali mimi kwa wingi wa fadhili zako nitaingia nyumbani kwako na kusujudu kwa hiko nikilielekea hekalu lako takatifu [emoji524]
ZABURI:5:7
Natawakia asubuhi ili njema sana mbarikiwe sana [emoji120] [emoji7]
Ubarikiwe nawe pia miss shunie..!!
 
Leo katika Historia:

1965 - Jose Luis Chilavert anazaliwa.
Golikipa wa zamani wa Paraguay.
Alikuwa mashuhuri sana kwa kupiga free-kick na moja kati ya magolikipa waliokuwa wanafunga sana magoli.
 
Back
Top Bottom