Makapuku Forum

Makapuku Forum

6/Joseph Goebbels
2fc5ffb62bc836b7695c1d273a4b04d6.jpg
8f933951b27496c4eaeb71c3b42b0cc5.jpg

Alizaliwa 1897 na kujiua mwaka 1945 akiwa na umri wa miaka 47 Huyu alikuwa Kansela wa Ujerumani kwa muda wa masaa 5 pekee mwaka 1945 May 1
Wakati Vita Kuu ya Pili ikiendelea na Adolf Hitler kuonekana kuzidiwa akaamua kumteua swahiba wake Goebbels kuwa Kansela akiamini ni Waziri wa Propaganda ndo pekee anayeweza kumuokoa jahazi lake linalozama

Lakini hata kabla hawajaanza propaganda zao za Hamphrey Polepole wakagundua wamezingirwa hivyo kuamua kujiua
Jamaa kaonja ukansela masaa yasiyozidi matano pekee

.........................................
Zitaendelea baadaye
Anafanana na jamaa aliyeigiza the great dictator ya Charlie Chaplin
 
1/Prince Luis Felipe
8ba9e83df749b6ede19ac40057d91b19.jpg
cc4afb89250189268128fe976671338a.jpg
Kama mnavyojua utawala wa kifalme mrithi hujulikana mapema hata kabla ya kifo cha Mfalme
Sasa mwaka 1908 Mfalme Carlos wa Urenoaliuawa papo hapo wakati wa ziara ya kifalme ambapo pia mwanawe Luis Felipe alijeruhiwa
Sasa wakati anawahishwa hospitali tayari alitambulika km Mfalme japo alikuwa bado hajavalishwa taji rasmi...ndani ya dakika 30 akafariki dunua akiwa njiani kupelekwa hispitali kutokana na kupoteza damu nyingi

Yaani jamaa alikuwa Mfalme kwa nusu saa tu
.
.
.
.
.
.
.
.

Shukrani kwa mliosapoti mada
Niwatakie Usiku Mwema
Tukutane kesho
Mwisho

..................
Shukrani mkuu
 
Muziki: Kwanini Isiwe Mbili Wakati Una Moja

Ni Jumatano leo na inaishiria, naamini hakuna ubaya nikijiaminisha kuwa umekuwa na siku nzuri sana leo ambayo ni mwangwi wa namna siku ya kesho itakavyokuwa. Kama haikuwa siku yako, worry not, kesho ni siku nyingine tena na kama ada, jua litawaka tena. usisubiri sana though.

Hakuna ubishi kuwa wote, well nisifanye sweeping generalization maana huchelewi kutaka datum ambayo kiukweli haya ni mawazo yangu tu na nimejiamisha tokana na kuyakabili mazingira. Kuwa na wivu wa maendeleo si kitu kibaya, kukinzana kwa ajili ya kurahisisha maisha si jambo baya, kutofautiana kwa ajili ya kujenga umoja si jambo la kukemewa. Kila mmoja ana mawazo sahihi kwa wakati sahihi, na leo nakukumbusha tu kuwa kuridhika si tabia ya mwanadamu. Tufanye tunayofanya kwa ajili ya kujiletea maendeleo na kurahisisha maisha. Popote ulipo hongera sana kapuku kwa kile unachofanya.

Muziki sasa, wakati wanaanza walikuwa watatu Nhlanhla Nciza, Theo Kgosinkwe na Tebogo Madingoane baadaye Tebogo mwaka 2004. Wanaitwa Mafikizolo, na pamoja na kifo cha Tebogo bado wameendelea kufanya vizuri katika muziki wakichanganya mitindo ya kisasa na ile ya jadi na kuwafanya kuwa ni kundi la kipekee ambalo maonesho yake huhudhuriwa na wapenda burudani wengi.

Burudika Kapuku muheshimika na kumbuka, wewe ni mtaalamu unayelifanya Jukwaa hili liwe la kipekee.



Baadaye tutakuwa na chaguo la Wapendanao na leo mtaasisi mwenzangu kajaa kwa chaguo lake

Shukrani mtaasisi kwa good music
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom