Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kuna niniii
f916177f0a5206cc3234cc0ba03dff01.jpg

Hii inaoneshwa TV gani ukiacha Eupersport
Kwa online ?

Siioni Skysport
.....
 
Acheni madongo jamaan daah humu wote watu wazima mjue ndio mana watu wengine wanapaogopa sana wengine wametoka kila mtu ana uhuru wa kufanya anachojisikia msipende kukwaza wengine na mafumbo badilikeni mtaharibu jukwaa ukiongea sio lazima umfumbie mtu jamaan
Mafumbo hayo vipi... Ila mdogo wangu ukishajua aina ya watu uloko nao kwenye jamii ni rahisi sana kuishi nao!!!
 
Nalo neno la Bwana likamjia likinena huyu hatakurithi bali atakayetoka katika viuno vyako ndiye atakaekurithi

Akamleta nje akasema tazama sasa mbinguni kazihesabu nyota kama ukiweza kuzihesabu, akamwambia ndivyo utakavyokuwa uzao wako

Akamwambia Bwana naye akamhesabia jambo hili kuwa haki

Kisha akamwambia mimi ni Bwana niliyekuleta kutoka uru wa wakardayo nikupe nchi hii ili uirithi
MWANZO 15:47

Muwe na mchana mwema
Amen
Na wewe pia mamy
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom