Makapuku Forum

Makapuku Forum

Sawa muzee
Hayo maneno ya (3-0) sikutaandika mimi bali copy nikasahau kuedit
....
fced83d50a16b607cddb0190caae1c5d.jpg
 
TOP TEN
Wadau kama kawaida kumi kubwa ni muda wa jioni
Halafu leo nimefurahi uwepo wa Linamo na Sakayo...ni jambo jema wadada wamerejea ila Mama Mchungaji bado haonekani(tumemmiss)
Leo tuangalie wezi/vibaka au matukio 10 ya wizi maarufu yaliyowahi kutokea tena kwa mafanikio
Karibuni
.......
 
10/2010 Credit Lyonnais Paris Burglars
2ad96df78d7d6a229ef3426c3dffffba.jpg
f1780720a6b8cff459ee7e7bb15e30c5.jpg
Mwaka 2010 wezi waliotukuka walifanikiwa kuvunja na kuiba kijanja katika Benki ya Mikopo ya Lyon iliyopo katikati ya jiji la Paris na kuiba viboksi vya kutunzia vito na pesa vyenye thamani ya mamilioni ya Euro pamoja na pesa taslimu.
Walifaniliwa kuingia kupitia mbinu za kijanja na kuvuruga mifump yotee ya ulinzi ma hivyo kuiba kiulaini bila kushtukiwa
Pia mwaka 2011 genge hilo lilifanya kufuru nyingine
Hadi sasa umekosekana ushahidi wa kiwezesha kuwashtaki
........
 
9/French "Vacuum" Gang
8249ddb950e99312b9ee43888c7fe4cb.jpg
edd9baff5c51e5942ced4e1aa4df2fe2.jpg
a42b2c0322be85f86081a82de4c1965d.jpg
Kuanzia mwaka 2006 huko Ufaransa liliibuka genge la Kihalifu lisilofahamika la vibaka wajanjawajanja ambao waliimba na kusafisha kabisa Supamarket kwa kutumia kifaa maalumu walichokibuni cha fagio la vakyumu
Waligundua udhaifiu katika utunzaji fedha wa Supermarket ya Monoprix na hivyo kutumia fursa vizuri kwa kubuni fagio hilo la kuiibia kwenye vacuum tubes za itumzaji fedha
Hadi kufika 2011 walikuwa washaiba USD 800,000 kwa kutekeleza matukio 15 yenye mafanikio mkubwa
Kamera za CCTV ziliambulia kuona watu waliovaa mask tu
Hawa jamaa walikuwa wakiiba usiku
............
 
8/Carl Gugasian
1ef6751b2d9bc2341ac303265b7c6825.jpg
74698721dc8a134e5a67bdda5d8baf59.jpg
7ee47f0bf7886b1568818b047f4257fe.jpg
Jamaa ni maarufu kwa jina la The Friday Night Bank Robber
Huyu ni kibaka maoni mwenye Shahada ya Uzamili kutoka Chuo Kikuu cha Pennsylvania huko nchini Marekani ambaye aliamua kutumia usomi wake kufanikishia matukio ya kijambazi yenye weledi
Alipohitimu tu akaanza kuiba magari katika casino 8 tofauti na kuyatumia kwenye matukio yake ya kihalifu
Aliprmdelra zaidi kuiba kwenye mabemki siku za Ijumaa na alifika dakika 5 kabla ya benki kufungwa na kutumia dk 3 tu kubeba mpunga na kusepa zake bila kukamatwa ambapo alienda kuzihifadhi pesa na vitendea kazi kwenye handaki porini kisha kusepahadi mambo yakipoa anarudi kuzichukua
.........
 
7/Paris Modern Art Museum Barglary
26aa55617385706569ce6cb618a8cb3f.jpg
6f3657c3a0b9b6d05cbefe04e06fc137.jpg
026f11498a1fe6033668d6ebf47c42dc.jpg
Mwezi May 2010 wezi alivunja Makumbusho ya sanaa ya Paris na kuiba kazi za kisanii kama vile za Picasso and Matisse ambazo zilikuwa na thamani ya Euro milioni 100
Wizi huo ukaja kugundulika keshowe asubuhi muda wa saa 1 na kuaminika kwamba vitu vilivyoibiwa vinaerza kufika thamani ya Euro Milioni 430
Hadi kufikia mwaka 2012 hakukuwa na mtu yoyote aliyekamatwa kuhusiana na tukio hilo
........
 
6/Derek 'Bertie' Smalls
be3748283b19b2989f2e9296750694e1.jpg
543d6148f2b27daba545675b7c018fda.jpg
e9684c23f7b93b42ac640588571b7804.jpg

Huyu alikuwa ni mwizi aliyebobea huko Uingereza katika miaka ya 1960
Kabla ya miaka ya 1970 alikuwa ni mwizi mwenye jina kubwa kwenye mitaa ya jiji la London
Mwezi Februari 1970 aliongoza genge liitwalo Wembley Mob kuvamia na kuiba pesa kiasi cha Pauni 240,000katika benki ya Barclays kiasi ambacho ni rekodi kwa kipindi hicho
Kisha akapanda treni na kutimkia jijini Paris kusikilizia upepo na kuponda raha
Baada ya juahidiwa kupewa kinga na mwendesha mashtaka iwapo atakubali kuelezea wizi ulivyofanyika kwaajili ya faida ya Polisi siku zijazo alikubali kurudi na kutoboa siri ambapo genge zima lilipigwa mvua ya miaka 100 jela ila yeue akasamehewa
Huyu jamaa ni mfano halisi wa Yuda Eskarioti
.............
 
Huyu yuda kweli

策熬失控了惡奧

Wewe ndio yuda maana umenikalisha hapa hata kuendrlea huendelei . Unazingua madenge..
Mdau na mimi binadamu kama ww siishi kwenye server za Jf bali kitaa hivyo samtaimu mambo yanabana
Mgano nilikuwa nazungumza na shemeji yako
Ila nitazimaliza baada ya muda
.....
 
Mdau na mimi binadamu kama ww siishi kwenye server za Jf bali kitaa hivyo samtaimu mambo yanabana
Mgano nilikuwa nazungumza na shemeji yako
Ila nitazimaliza baada ya muda
.....
Sasa U yuda wangu uko wapi..?
Acha uongo ujue ulikua unakimbizana na bata sio shem wala nini!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom