Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nilipo inaoneshwa kwenye kebo ....channel ya Kiarabu
7bdc9c9163eb0e45f892eb774036f340.jpg

Bado sijaipata
Na Youtube wanazingua
......
 
Watajua wenyewe, maisha yenyewe haya.... Kuanza kuwekana kwenye mabano ni utoto tuu.... Mwambie mtu ukweli akuelewe
Duh kumbe ulisharejea
Karibu

Hiyo ishu tumewaelewa na kama binadamu kukosoana ni kitu cha kawaida na pia kusameheana na kuvumiliana

Hivyo kama mlivyosema sio sahihi "kuzungumzia mtu/watu" tumewaelewa na kuheshimu maoni yenu maana yana lengo la kujenga
Tuendeleze mengine jamani

Usijali...

Nimerejea asubuhi mie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom