Makapuku Forum

Ahsante kwa ushauri mkuu
 
2/Kiharusi Kitaalamu unaitwa Stroke kwa Lugha rahisi ni kupooza
Ikumbukwe ili ubongo iweze kufanya kazi unahitaji hewa ambayo husafirishwa kupitia kwenye damu hivyo chakula cha ubongo ni damu sasa kiharusi hutokea pale damu inapofeli kufika ubongoni au kufika chini ya kiwango kwa sababu mbalimbali mfano mishipa kupasuka, shinikizo la juu la damu n.k
Mgonjwa wa kiharusi sio tu hupooza mwili bali pia akili
Huua watu 6.1 Milioni kwa mwaka
.................
 
Juzijuzi tu nimepima kitu -ve
Ila sibweteki
Kapimeni jamani

.....
Tafuta thread mbali mbali za Ukimwi hapa Jf ujiongeze kwenye hicho kiini macho!

Kwa taarifa yako tu hakuna sehemu yoyote Ile ambapo wanapima na kuwaona hao Virus wao wanapima antibodies tu

Sasa fatilia kwa undani kisha uje kushare uzoefu wako
 
Huu nao ni tatizo
 
Ukimwi (ukosefu wa kinga mwilini) hili kweli ni tatizo

VVU hapa ndio kwenye kiini macho sasa
Ukafanye hiyo assignment niliyokupa
Cc Eiyer
 
Hili tatizo hizi nchi maskini ni kama linazidi kujua tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…