Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,636
Typing error niliandika tu "Mond"Hahaaaa May mond ndio kitu gani?
preview before printing..
Aaah mule nilikua na act as +ve Catalyst tuuu
....
Typing error niliandika tu "Mond"Hahaaaa May mond ndio kitu gani?
preview before printing..
Aaah mule nilikua na act as +ve Catalyst tuuu
..na umenipata yaani nilikuwa nimekaa imebidi niamke nikajiangalie kwenye kioo, nahisi nahitaji kupunguza baadhi ya nywele😀😀😀😱
pole weeeHapana nilikimbia umande hafu nikajua tutakua wote huko cocoAtanitembeza mimi nakuja Dar wiki kesho, wewe nunua ramani ikusaidie, si unajua kusoma?
Kweli mke mwee mapenzi yana nguvu sana niachieni lee wangu jaman![]()
![]()
mapenzi yana nguvu jamaani
..na umenipata yaani nilikuwa nimekaa imebidi niamke nikajiangalie kwenye kioo, nahisi nahitaji kupunguza baadhi ya nywele😀😀😀😱



afroNa ww ukaunga tera kwenye upaganiWapagani ndugu nilileta mahubiri humu wakasema bora niache na mie nikaamua kuacha
Baadaye tutapata muziki wa wadhamini wetu, najua shedede uliomba wimbo na umenitoka, ikiwa hutojali nikumbushe tena, the thing is, uliomba kiinglish na mimi unajua kabisa leo Ijumaa nakula safari lager naongea kipolisi



Typing error niliandika tu "Mond"
....
..tena unasema ukweli kabisa, maana wewe ndo unanisapoti. Huyu anko ngoja arudi nimwambie Husna anamsapoti anapoenda kukimbiza ngedere

Usa baby iz backCool My boy..!
how are you...?
post using my macbook air using jamiiforums app
Kwa kweliKila mtu apambane na hali yake mke mwee

Ebu tumuacheni tu kwakweli kama kuna waliotapeliwa watajua wenyewe na ujinga wao kumwamini mtu kwa avatar fake na id fakeWengine waongo tu na wapenda sifa
Ila mimi simjui physical ila kuna baadhi ya mambo nayajua na pia huwa naheshimu PM na hata ningemjua kwa sura siwezi sema
Ndo kanuni yangu
.........
Hapa ndo ushamba wakeBinamu rudisha kiss na wewe
OK poa vizuriZilikuwepo maktaba
Picha zenye umuhimu au zinazonigusa huwa sidelete
Ila kawaida tangu 95% nadelete
.....
mdhamini wa nini binamu jaman ebu niachieni baba d wangu jamanHa hahahaaha, mjomba wangu ndo mdhamini wangu, hayo mambo mengine hahusiki kabisa
Karibu mkuuHello my family??
post using my macbook air using jamiiforums app
Rasi simba kaongeza mteja mwingine,hakuna namna binamu kila mtu apambanage na hali yke tu







Oooh yeah, wahenga tunabembelezana kwa style ya 69 yaani hata kama hujala unajisikia kushiba

Sawa wakuache kabisaKweli mke mwee mapenzi yana nguvu sana niachieni lee wangu jaman