Makapuku Forum

Makapuku Forum

Wadhamini wa Leo

Nawashukuru sana kwa kuwa hapa na zaidi kuendelea kuwa hapa, sasa tupate mapumziko kidogo ya wadhamini.
Na leo itakuwa ni different a bit as our own buddy, shedede is sponsoring this song, you can sing if you want as we don't talk anymore.

I hate to guess if this choice has something to do with him being shunned (not Shunie ) out with someone I am in elo o vii ii. NOMYB everyobody has their way to cope with stress. Enjoy


Binamu kumbe na we unajua kidhungu kama mzungu wetu wa kapuku hivi umemaanisha nini hapoo lakini jamaan
 
IMG-20170722-WA0072.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mapumziko Yanaendelea.

Baada ya kuwapata wadhamini wetu hebu tuburudike kidogo kwa kupata kinywaji cha baridi, offer hii inatoka kwangu mimi na husna muba , ukiagiza agiza kinywaji cha ndani (local brand) ukiagiza imported brand utajilipia

Tunakupenda sana mdau, na nikutakie usiku mwema


Binamu asante sanaaaa ujue huku nilipo unaniburudisha sana
 
Back
Top Bottom