Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,323
- 35,829
[emoji3] [emoji3] [emoji3] najua ucvolipenda hlo neno nmekunyoosha
..na umenipata yaani nilikuwa nimekaa imebidi niamke nikajiangalie kwenye kioo, nahisi nahitaji kupunguza baadhi ya nywele😀😀😀😱
[emoji3] [emoji3] [emoji3] najua ucvolipenda hlo neno nmekunyoosha
Ooooyeeeeeeeeee.....Woyooooooo wahenga oyeeee
Haina noma May Mond nimekutania vya kutosha
Halafu kwenye uzi Rainyundo acha kuzingua....
Kuna mambo huyajui
Wengine tupo kimya ila thread tunaisoma tu ila kuna mambo tunayajua na tunakausha tu
Usiku Mwema
.......
Wengine waongo tu na wapenda sifaMmmh kila mtu anamjua raimundo jamaan humu
[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we ni chizi ujue mama jj
Lee empire hapa anahusika vipiii binamu ujue we ni binamu yangu lakini ni kivuruge ujue kila mtu apambane na hali yake niachieni lee wangu ata akiwa na nani ndio wangu jamaan
Rasi simba kaongeza mteja mwingine,hakuna namna binamu kila mtu apambanage na hali yke tuSijui kwanini navutiwa na huu msemo 'unapambana na hali yako'. naupenda sana. Its like living in your own means, if that makes sense shedede tukutane kwa ras simba
Wapagani ndugu nilileta mahubiri humu wakasema bora niache na mie nikaamua kuachaWanajifanya wapagani Leo?! Wakati BH alikuwa anamwaga injili hapa na wote wanaitiaga"amin"
[emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja ashushe maji ya mende kwanza
Ewaaaaaa binamuHa hahahahaha, me nikajua ni soda, lol, usicheke sana si unajua nakuwaga wa mwisho kujua.
Kwa hiyo chipsi mayai unaweza kuweka mayonnaise ukala ukashushia na soda?
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Wanajifanya wapagani Leo?! Wakati BH alikuwa anamwaga injili hapa na wote wanaitiaga"amin"
Cool My boy..!Afande shedede niaje
Kila mtu apambane na hali yake mke mwee[emoji3] [emoji3] [emoji3] kweli mke mweee tunapambana na arosto
Ndioooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti umemnyoosha mke mwee ujue we ni mwehu umemfanyia maksudi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] exactly...Muzungu ya sumbawanga [emoji3] [emoji3]
Binamu rudisha kiss na wewe[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji106] [emoji106] [emoji8] [emoji8]
Hahahahaha....Kutoka ulinzi hadi u USA baby
Watembezane hakuna namna mke mweeHataki mpendwa wake akamtembeze manga
Ndio ObeHa hahahahaha, me nikajua ni soda, lol, usicheke sana si unajua nakuwaga wa mwisho kujua.
Kwa hiyo chipsi mayai unaweza kuweka mayonnaise ukala ukashushia na soda?