Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,642
Acha hizo kaka RayAlaaaaaaah Tumbakuuuu za tabora..
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.....
Acha hizo kaka RayAlaaaaaaah Tumbakuuuu za tabora..
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila wamenoga tu
Woyooooooo wahenga oyeeee
Hivi Mama Mchungaji yupo wapi?Kama namuona baba d wangu mie huko alipo chelsea oyeeeeeeeeeee nipo chelsea kwa hisani kubwa ya bae
Me mwenyewe nipo huko najisomea yaan mashkolo mageniHalafu itakuwa kweli Rainyundo kajianzishia uzi na yule anayetukana ni yeye au Mrs Tapeli
Ndo uzi nimeusoma muda kidogo
.....
Ahahhah shemela umeanza ujueUna mkwala aisee
[emoji23][emoji23][emoji23] utabaki na mimi binamu yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha hizo kaka Ray
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.....
Muziki Wikenda: Tucheze Japo Kidogo
Muziki unakujia mapema leo, unajua ni kwanini? Nitakupa sababu mwisho maana kwanza ninahitaji kukusalimia kapuku mheshimika, unajua kabisa umuhimu wako hapa jukwaani ni wa kipekee bila kujali lolote linalosemwa kwenye majukwaa mengine. KF ni Jukwaa bora, halilinganishwi wala kushindanishwa maana lenyewe ni ushindi tu na si kushindwanisha. Asante kwa kuwepo hapa Jumamosi hii.
Vipi weekend inaendaje? yangu ilikuwa rahisi sana, a lazy day, nimeamka nikaenda jogging kidogo mchangani, then nikaungana na vijana kucheza soka baadaye maveterani sisi tukajumuika kunywa supu na bia baada ya mazoezi. Mazoezi huleta appetite, nikapitia magazeti ya shululu nikasoma habari za Hitler husna muba nikajisomea historia na mapicha Jimena na Bitoz baadaye nikajibu maswali ya Tumosa na aunt yangu Shunie ambaye Bitozi hummuita Shumie (hata mimi huniita One)😀. Nikaendelea kumsubiria mjomba lee empire arudi maana nilimuona Bailly5 online pamoja na Clkey na hapo hapa kwa mbali akaja Mkushi wa kusi akivuta ganja taratibu na si nikarudi tena beach huko akaonekana Manga ML
Baadaye nikaona isiwe taabu nikanoa kiingreza kwa kumtafuta shedede ambaye alikuwa anamtafuta Mondray aliyekuwa akimkimbiza demi mtaani kwa kina Nyagei kwenye spoti huku Chelsea hadi mapumziko keshampiga Arsenal 2 mtungi. Anyway isiwe tabu maana BlessedHope hayupo kaungana na kina mzeewakungoa Mndali ndanyelakakomu , QUIGLEY Transcend na Sakayo kuchukua mapumziko na tunawamiss hapa.
Muziki sasa, kuna miziki inachezeka jama uongo ukae mbali maana ni tangu unaisikia nyuzi ya kwanza hadi tumba unabaki kufurahia na kuutingisha mwili. Hebu tuburudike na muziki wa weekend wadau wa nguvu.
Zilikuwepo maktabaAsante pia kwa mapichapicha
Mama mchuchu mmesababisha haonekani watu wamemsema na kumcheka na signature ya simu yake na kutoa hawezi kabisa mama alishasemaHivi Mama Mchungaji yupo wapi?
.
.
Sisi Man Utd tunacheka tu kwa dharau
....
:
Poleni Mukongo,Shululu & Clkey
.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pale wahenga wanapokunata kubembelezana
Heee...!!! Kumbe ni madini hayo?!Husna unatema tu madini
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
....
Mi nimepita tu kimyaMe mwenyewe nipo huko najisomea yaan mashkolo mageni
Tatizo ni mawazo yake[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kayapeleka mbali zaidiMmh hii sauti mbona ya kawaida tu wala sio ya chumbani
Mwezangu!! Loh! Bora umuulizeKwani we manga we ni wa mkoani mbona kila sehemu hujui jaman
Akuimbie bana nione mie
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Unasubilia kuitwa eeenh