Makapuku Forum

Makapuku Forum

@Werason
QUIGLEY
Blessed Hope
Sakayo
Archduke
Nyagei
Transcend ila ww sababu ya sakayo hayupo..
Mmepotea mfanye Mrudi bwanaa..
Na Lee muzee ya ngedere
Dada huchina ya madenge..
Obe
...........
ki JF hapa ni nyumbani upendo niliyoupata hapa na maisha niliyoishi hapa sikuwahi kupata ktk jukwaa lolote

nitapotea kwa kipindi tu, si kwa muda wote

nawapenda wote

usiku mwema wanafamilia
 
Hope mmelala tayari.... Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu basi naomba niwaletee leo katika Historia muda huu wa mapema kabisa kwa udhamini wa matukio ya kibiti....
Karibuni sana ikiwa leo ni tarehe 22 July 2017 muda ni 00:12
Cc Bitoz mzee wa mapicha picha
 
Leo katika Historia

1934 - John Dillinger anauwawa.
Ni Jambazi maarufu aliyetikisa katika wizi wa kuvamia Benki huko Marekani. Pia alikuwa ni mahiri kwenye kutoroka jela.
Anachukuliwa kama mmoja kati ya wahalifu waliowahi kusumbua vyombo vya dola nchini Marekani.
 
Leo katika Historia

1992 - Pablo Escobar anafanikiwa kutoroka gerezani huko Medellin nchini Colombia.
Ni mmoja kati ya wafanyabiashara hatari na tajiri wa Madawa ya Kulevya kuwahi kutokea katika uso wa Dunia. Enzi hizi pia alikuwa akitamba yeye pamoja na mwanamama Griselda Blanco, Marekani inawatambua vyema watu hawa
Alikuwa na utajiri wa kutosha lakini hakuwahi kutambuliwa kwenye orodha ya matajiri wa dunia kwa kuwa vyanzo vya mapato yake ni biashara haramu.
 
Leo katika Historia

2003 - Uday Hussein anauwawa na majeshi ya Marekani katika mapambano yaliyochukua masaa matatu huko Tikrit nchini Iraq. Alikuwa ni mtoto wa Saddam Hussein, Rais wa zamani wa Iraq.
 
Leo katika Historia

2003 - Qusay Hussein anauwawa.
Huyu pia ni mtoto mwingine wa Saddam Hussein.
Aliuwawa pamoja na ndugu yake Uday katika mapambano yaliyochukua takribani masaa matatu huko Tikrit nchini Iraq.
 
Mpaka hapo basi sina la ziada kutoka katika meza ya historia,
Tukutane tena kesho kwa Udhamini mzito wa matukio yanayoendelea huko Kibiti

Weekend bado inaendelea au sio (Crazy saturday )
Jina langu naitwa Jimena Jimenes ukipenda basi unaweza ukaniita J J nakuaga kwa kusema Bye...
 
Leo katika Historia

2003 - Uday Hussein anauwawa na majeshi ya Marekani katika mapambano yaliyochukua masaa matatu huko Tikrit nchini Iraq. Alikuwa ni mtoto wa Saddam Hussein, Rais wa zamani wa Iraq.
Kabla ya uvamizi nilikuwa Republican supporter na pro western basi baada ya uvamizi ule nilitafakari na kuamua kwamba siasa haitachukua sehemu kubwa ya maisha yangu, maana niliona jinsi watu wasio na hatia wakiuliwa bila sababu za msingi, maendeleo yakisisima na mengine mengi.
 
Mpaka hapo basi sina la ziada kutoka katika meza ya historia,
Tukutane tena kesho kwa Udhamini mzito wa matukio yanayoendelea huko Kibiti

Weekend bado inaendelea au sio (Crazy saturday )
Jina langu naitwa Jimena Jimenes ukipenda basi unaweza ukaniita J J nakuaga kwa kusema Bye...
Ahsantee mama mawaini nadhani upo unakoroma muda huu..
Njozi njema mamiii
 
Back
Top Bottom