Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,384
- 110,094
Brother tumekumiss ukujeeki JF hapa ni nyumbani upendo niliyoupata hapa na maisha niliyoishi hapa sikuwahi kupata ktk jukwaa lolote
nitapotea kwa kipindi tu, si kwa muda wote
nawapenda wote
usiku mwema wanafamilia