Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Naona huawe mie na binslum wazee wa matyreHahaaa Kwani ww umeionaje hiyo ni nembo ipi?
Naona huawe mie na binslum wazee wa matyreHahaaa Kwani ww umeionaje hiyo ni nembo ipi?
Wewe tu kama utawezaVp nitumie fursa?
Hapo sawaHii ni Reposted..
Naona huawe mie na binslum wazee wa matyre
Wewe tu kama utaweza
Mmh si wameshazaa mapacha hawa
Nafikiri walizaliwa Julai 14Watoto wameshazaliwa aiseee
Ushasema tetesiHuyu tetesi zinasema anafilisika
AmeshawaonyeshaNafikiri walizaliwa Julai 14
Nasikia pia wanaitwa Sir Carter & Rumi
Ila bado wamefichwa
.........
Hapana kila mtu apambane na hali yakeSi utanisaidia kurusha Voko lakini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijui wanakulipa au unawatangazia bure bureNyie wafukunyuku aisee kwahiyo nimevaa Bangoo..Nitabadiri kesho
Leo Ray hana hamu nasi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na watu wa jf wanavyofall in love na avatavar fake woiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anayekwambia ukweli siku zote anakupenda ujueLeo Ray hana hamu nasi
Nimemtibulia siku
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.....
Ila walishindwana wenyeweNilikua naipenda hii couple jamaan enzi hizo za wahenga
Mimi sikuonaAmeshawaonyesha![]()
Ukweli huuma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anayekwambia ukweli siku zote anakupenda ujue
Ndio hao sircater na rumicaterMimi sikuona
......
Unauma lakina hakuna namna inabidi uupokee tuUkweli huuma
Hata mtu yule tangu niamue kumchana live hapa kwamba anajishtukia hajarudi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
Kweli Wahenga walikuwa na maonoUnauma lakina hakuna namna inabidi uupokee tu
Muziki: Ukiitwa Itika Hata Kama Huji
Kesho ni Ijumaaa, TG! Nimeamua nikujulishe tu kapuku mheshimika maana wengine kalenda hamna na mnategemea kalenda za simu, siku ikiisha chaji huioni siku wala kujua uko kwenye siku ya hatari au vipi. Kuna zile kalenda za kuweka ukutana, ndiyo, wall calendar zile za klabu ya Simba, zinapendeza sana ndani. Ninakusalimia sasa baada ya kuwa nimekukumbusha kununua kalenda na kwa kuwa mwaka tushaugawa kati, zimepungua bei.
Unataka niseme ni juu yako kapuku mheshimika shedede , shululu ,lee empire , Shunie ,husna muba , Tumosa Nyagei , Mondray , demi , Mkushi wa kusi , mzeewakungoa , Mndali ndanyelakakomu ,Madame S ,Bitoz , Bailly5 ,dumejeuri ,dingimtoto ,Clkey ,Sakayo , Transcend , BlessedHope ,QUIGLEY , Jimena , koncho77 ,werrason na wengine wengi ambao uwepo wenu humu hulifanya jukwaa hili kuwa special. Not only that you guys are awesome, you are exceptional and you know it. Asanteni sana, nimewaita tu na hakuna nilichowaitia maana usawa huu ishieni kusema asante maana mnanifanya nipapende hapa.
Muziki sasa, ukiachana na sisi wazee wa bakulutu, mwanamuziki solo ambaye anajulikana maeneno mengi Tanzania basi Komandoo Jide anaweza kuwa anajulikana zaidi. Lady JayDee ana sauti nzuri jamani, ile inayosemwaga inamtoa nyoka pangoni haifikii maana nyoka wengine wanakaa mtini ukipita tu anakugonga. Utafurahi kumuona akiperform na bendi yake live.
Asante husna muba kwa chaguo hili.
Wahenga sio wa mchezo mchezo walikua na maana sana wahenga oyeeeKweli Wahenga walikuwa na maono
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......