Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
SawaHujakosea wala mm mwenyewe napenda rangi nyekundu sana blue..
Nguo zotee ni za rangi hiyo..
SawaHujakosea wala mm mwenyewe napenda rangi nyekundu sana blue..
Nguo zotee ni za rangi hiyo..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na watu wa jf wanavyofall in love na avatavar fake woiiiiAfadhali umebadilisha avatar
Uwe unajipima kabla ya kuweka
Zingine zitakutibulia si unajua Jf kumejaa vichaa
....
Hii avatar ya sasa ina swaga hata mi nimeielewaKaombe kazi Shilawadu maana sio kwa ufukunyuku huo..
Hiyo ni Nembo ya Timberland
3/Shawn Corey Carter![]()
Ana umri wa miaka 44![]()
Aanajulikana zaidi kama Jay Z
Ndiye mume wa Beyonce Knowles na baba mzazi wa Blue Ivy ila pia wanatarajia kupata watoto mapacha muda wowote
Ana dili kibao anazopiga pamoja na mkewe :
Inakadiriwa kuwa na utajiri wa USD 500 Milioni
..........
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Fasta kabadilisha
Tulilenga penyewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
....
1/Andre Romelle Young![]()
Huyu jamaa huko kwa Trump nu kama Mkubwa Fella wasanii kibao wamepitia kwake![]()
Ni prodyuza abayefahamika kwa jina la Dr Dre... jamaa kweli ni daktari wa muziki
Ana umri wa miaka 49
Anamiliki studio na vitega uchumi kibao
Ana utajiri wa USD 790 Milioni
.
.
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane Jumatatu
Mwisho
.............
[emoji3][emoji3]me nimependa rangi tu sio vingine ujueNa nembo ya Huawei je
Ngoja tuone[emoji12] nikirudi break ya kwanza kwa mama f
Sent from my TV
2/Sean John Combs![]()
![]()
![]()
![]()
Ana umri wa miaka 44 anajulikana zaidi kama P Diddy
Enzi hizo wakati damu ikimchemka na akijiita Puff Daddy alikuwa akitoka kimapenzi na Jennifer Lopez ila walishindwana na kumwagana kisha akapata mwanamke mwingine
Anamiliki kampuni kibao ikiwemo ya mavazi iitwayo Sean John
Anamiliki pia studio
:
Ana utajiriunaofikia USD 630 Milioni
.....
Ndio[emoji1]Mmh si wameshazaa mapacha hawa
[emoji3][emoji3][emoji3]unamfanya shemela wangu mshambaKaombe kazi Shilawadu maana sio kwa ufukunyuku huo..
Hiyo ni Nembo ya Timberland
1/Andre Romelle Young![]()
Huyu jamaa huko kwa Trump nu kama Mkubwa Fella wasanii kibao wamepitia kwake![]()
Ni prodyuza abayefahamika kwa jina la Dr Dre... jamaa kweli ni daktari wa muziki
Ana umri wa miaka 49
Anamiliki studio na vitega uchumi kibao
Ana utajiri wa USD 790 Milioni
.
.
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane Jumatatu
Mwisho
.............
Asanteeee mkushiHujakosea Red n Bora siku zote
Na me nilishangaaWatoto wameshazaliwa aiseee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii avatar ya sasa ina swaga hata mi nimeielewa
Alisahau bitoz [emoji12]Ndio[emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3]unamfanya shemela wangu mshamba
Mmh si wameshazaa mapacha hawa
Hii avatar ya sasa ina swaga hata mi nimeielewa