Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,268
Unataka kuwa na wake wangapi?Hilo usijali, niambie mwenyewe mrembo muzuri nikutolee ka sh. ngapi vile?
Unataka kuwa na wake wangapi?Hilo usijali, niambie mwenyewe mrembo muzuri nikutolee ka sh. ngapi vile?
Utasubiri sana kijanaIla ndo utabiri wangu lakini?
![]()
![]()
Karibu mpenzi.Poa handsome mutamu.
Alaaa kumbe wamfahamu paroko!Usiwaze baba paroko umoja wetu uko palepale
Nyie watani vip!Nimekufatilia wapi wewe naye?
Atakuwa bado yuko safari hajarudi mjini.Yuko Meimosi
Teh Teh Teh namsikia sikia sijui ni kweliAlaaa kumbe wamfahamu paroko!
Mimi niko saafi ibada njema, ck nayo imenyookaWa afya kabisa mkuu vip umesalimika pamoja na waumini?
Hahahaa... Sie watani braza.Nyie watani vip!
Ubarikiwe sana mkuuMimi niko saafi ibada njema, ck nayo imenyooka
Usijali mkuu hili ni langu tu.Basi kila la kher mkuu chukua Hilo blanket chapa mtu
Sjajua ni me or ke mkuuTeh Teh Teh namsikia sikia sijui ni kweli
Achana na huyu mgeni mkuu.Nimekufatilia wapi wewe naye?
Mkuu karibu..miss you muchniaje humu ...
Pamoja sana kaka.Ndio kabisa
Swiss you!Makapuku bado yamelala.
swissme
Brother vipi!Unataka kuwa na wake wangapi?