Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,049
Leo nimeamua kusema ukweli.Acheni fitna, we Youngblood kakinge maji ya mvua.
Leo nimeamua kusema ukweli.Acheni fitna, we Youngblood kakinge maji ya mvua.
Ukweli gan hapo.Leo nimeamua kusema ukweli.
hahahah...kwani anashida ya maji?Acheni fitna, we Youngblood kakinge maji ya mvua.
Kweli sina ndugu hapaLeo nimeamua kusema ukweli.
Ndio, ndani hana maji kakalia kuchonga humu.hahahah...kwani anashida ya maji?
alaa..kumbeNdio, ndani hana maji kakalia kuchonga humu.
Fans wa Arsenal wanataka mabadiliko
Hili nililiona hata kabla ya mechi yenyewe kuchezwa fans wa arsenal wamemchoka sana arsene wenger
Wazungushe mikonoFans wa Arsenal wanataka mabadiliko
Mtamkoma Prof WengewengeHili nililiona hata kabla ya mechi yenyewe kuchezwa fans wa arsenal wamemchoka sana arsene wenger
hakuna namna...Wazungushe mikono
![]()
![]()
![]()
![]()
..................
Mimi sio fans wa arsenal bitozi japo timu yangu iko kwenye namba 10Mtamkoma Prof Wengewenge
![]()
![]()
![]()
![]()
..................
Serikali kuhamia Dodoma itaendelea kuwa ndoto ya mchana kwakuwa serikali bado haijaweka mazingira ya wafanyakazi kuhamia huko.Kuhamia dodoma kwa serikali ni ndoto isiyoonekana kutimia ni ngonjera tu toka awamu ya pili mpaka ya jk na hata. Hii ninaona nayo itamaliza kutawala bila kuhamisha kazi za serikali dodoma ni jambo la kusubiri na kuona
Wafanyakazi juuuuuuuu ila naona kama tuko chini sana
Wafanyakazi day is today