Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Salama kabisaWakuu habari zenu..
Salama kabisaWakuu habari zenu..
NashukuruSalama kabisa
Asante mama watotoPole na majukumu baba wawili
Nzuri, za kupoteaWakuu habari zenu..
Sijapotea wala. Nawachungulia kila sikuNzuri, za kupotea
AiseeKuna msanii sijui anaitwa DNA anataka ajue kwanini mama wawili ana watoto mapacha wanapishana miaka
Every tng is guuudaaa
bouu mi nuh truss deh bredren deh kaaz u a bag o wire.”
kihindi au?!Nijikoki nn thaatha?!Himself mbona utajikokiiii
Morning wadau
Nafikiri mpo swsaf kiafya na mifukoni kumejaa mawe
Niwatakie siku njema
....

Umeisummarize uzuri sana, na umenikumbusha mbali. Asante Husna, nimeipenda mpenzi

Nzuri mkuuGood morning Kapuku's family
Bonjour Kapuku's family
Bom dia Kapuku's family
Habarini za asubuhi Makapuku
Hongera kwa 224kUsicheke shem wane
Ushawahi kufumaniwa wewe?We mawanamke ushamaliza kusugua sufuria uliyopikia kande jana?
Nyanyuka mkekani nenda kajipodoe
Nataka nikuibukie
![]()
![]()
![]()
......
Moja kati ya wanamuziki ninaowakubali zaidi kando ya Albert Mangwea na Bob Marley
.....

Kwema tuJamani kwema hapa
Wanatudanganya tuNaona mnaelewana wenyewe
![]()
![]()
![]()

Nimeipenda hii

Siku ukichinja unambie nije nikutembeleeSawa mdau
Ngoja nirudi bandani nilishe bata
![]()
![]()
![]()
.....