Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Shukrani mrs Obe

Ndugu lawama
Asante mpendwa wa Obe

Ohooo mvumilienii hali ngumuuHajatoa mahali lakini
PoaAkikujibu nishitue
Hapo chachaaaUmejuaje kama anamzengua
GoodMimi nimeagiza gari la mpenzi wangu, sitaki ateseke
Jimena +jeep
Mgomvi huyuuu siku nitampiga kipepsi kidogo atulieHaaaaahaaaa
Wirzad Wa kidigitalMzungu huyo
Wivu huo sasaHata angeandka madudu ungeyakubali hvohvo
Shangaa na ww![]()
kihindi au?!
Jamaa bwana mm hata simwelewi elewi alipata kamchumba akasema yuko busy ataka funga ndoa
