Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
[emoji3] [emoji3] [emoji3] shemela unafukua makaburi ya janaNaona ulikuwa unamngojea ubavu wako afike tu ndipo mengine yafuate
[emoji3] [emoji3] [emoji3] shemela unafukua makaburi ya janaNaona ulikuwa unamngojea ubavu wako afike tu ndipo mengine yafuate
Zangu nzuri tuKwema kabisa, za kwako
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hata angeandka madudu ungeyakubali hvohvo
OhooooWe mawanamke ushamaliza kusugua sufuria uliyopikia kande jana?
Nyanyuka mkekani nenda kajipodoe
Nataka nikuibukie
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
KaribuZangu nzuri tu
Ndio[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ni salama kabisa mkuuNzuri Nyagei, za pande hizo
Ahsante sana shululu wa TumosaHongera sana kwa 244K
Bora kama na ww umewaonaNaona mnaelewana wenyewe
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Safi sanaNzuri mkuu
Nimeshalifukia hilo shem [emoji3] [emoji3][emoji3] [emoji3] [emoji3] shemela unafukua makaburi ya jana
Madam fakalava yuko wapi?Zangu nzuri tu
Kila nikisoma naona nyota nyota tuBora kama na ww umewaona
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Utajuaje na yeye kama yupo
Cio shemu sema shangaziNaandaa bonge la party shem
Jamaa bwana mm hata simwelewi elewi alipata kamchumba akasema yuko busy ataka funga ndoaMadam fakalava yuko wapi?
Tusalimianeee
Shikamoo baba watotoAsante ankali kwa historia
Vipi pande hizoSwalamaaa