Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,557
Itakua katania au Typing Error
Yaani umeze jellyfish???
Madame S
Yaani umeze jellyfish???
Madame S
Muziki: Kupumzika ni Muhimu
Hakuna ubishi kuwa KF ni sehemu bora kabisa kulinganisha na majukwaa mengine humu JF, na unajua ni kwanini hili linabaki kuwa jukwaa bora kabisa la mfano? Kama huji nitakujuza leo, hapa ni facts bila farts ( a fart free zone) kwa mujibu wa wataalamu wetu wa utafiti usio rasmi profesa Mndali ndanyelakakomu na dokta mzeewakungoa . Kubwa zaidi sehemu hii ni nzuri kwa sababu wewe upo, yeah wewe unayesoma muda huu uko hapa ni smart sana na unalifanya jukwaa letu kuwa mukide.
Mapumziko ni muhimu wadau, msiseme sijawaambia maana sihitaji kuwaambia the obvious (kitu kinachojulikana wazi). Ukiwa ni mwanafunzi, baba, mama, mfanyakazi na zaidi ukiwa Kapuku unahitaji mapumziko, kujenga mwili na kuuhisha akili ili uweze kuwa timamu na kamili kabisa katika kujenga nchi. Shukurani kwa member wenzetu ambao wameamua kuchukua mapumziko Sakayo , Clkey , Mussolin5 , BlessedHope, husna muba , Tumosa kutaja wachache.
Asante sana kwa mjomba lee empire kutupatia UF, dondoo za BBC, na hadithi, asante shululu kwa magazeti, asante Jimena kwa historia, asante Nyagei kwa matokea na dondoo za michezo, na asante Bitoz kwa kubwa 10 na picha nzuri kabisa. Nyinyi wadau mnatufanya Makapuku tuwe na furaha na waelewa wakati wote, tunawiwa deni nanyi, nasi hatuchoki kusema asante. Karibu sana Madame S hapa KF uwepo wako unalifanya jukwaa hili kupendeza sana. Aunt yangu Shunie unajua sina sababu ya kukusahau kukushukuru kwa kuwepo hapa.
Muziki sasa, inawezekana huupendi sana muziki wa Rock, yeah, ni muziki wa gitaa za umeme zinazopigwa kwa fujo na ni maarufu US na Uropa (Arsenal anacheza Uropa ha hahahaha-chezea namba nne wewe). Ila kuna soft rock hii inapigwa taratibu na utaipenda na ndiyo itatuburudisha leo ikiwa ni dedication kwa mdau mwenzetu Transcend
Burudika na ufurahie gitaa
Asante Sakayo kwa pick of the day, mapumziko mema

Naona leo umekaa kiti cha mbele kamz ulivoahidi na umeelewa haraka
Kua na amani, anytime karibu!Poa kesho or next nitakujia chemba
Leo nimechoka
.......
Bora kule kwetu Mara viumbe hivi tunavisikia tuAkiwa kwenye maji anatoa uzi flani dizain mwembamba sana ukiugusa pia ni unakua kama umekatwa na wembe au kisu
Kuna wengine huwasha
Me ni mpenzi wa kuhudhuria beach sana, kuna swimming club moja hawa hua wanakuja na maji vile yakijaa bas wakiogolea wote utawaona wakitoka na kujikuna nahisi sumu zinatofautiana kama vilenyoka wapo ambao sumu zao zinaua within a glance of an eye!! Na kuna ambao unaweza kustahmili na tiba ukapata
Asante leo najifunza kutoka kwako
Madame S
Kumbe unaifatilia kwa karibu eeeehHa ahahhahahaha, mimi ni Mzee wa spoilers, unataka nibashiri Mr X ni nani? Unamkumbuka yule mdingi aliyekuwa anapigapiga simu nadhani ni episode ya 23-27?
Mimi naishi pwani hasa!! So mambo kama haya mengine mageni kwangu mengine nimeyashuhudiaBora kule kwetu Mara viumbe hivi tunavisikia tu


Kumbe unaifatilia kwa karibu eeeeh
Na kwako pia1/Fierce Snake![]()
![]()
![]()
Anapatikana nchini/barani Australia
Ni nyoka jamii ya chatu ....achana na vichatu uchwara vya sijui Singida huyu ni habari ya kijijini
Huwa na urefu wa mita 1.8 hadi 2.5 ila pia ikitokea huweza kuvuka hup urefu kama watu aina ya Hasheem Thabeet
Huyu nyoka ana sumu kaliiiiiii
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Niwatakie Usiku Mwema
.......


Na kwako piaSalaam kwenu makapuku wenzangu polen kwa mihangaiko ya kutwa nzima wakuu![]()
Asante kwa 10 kubwa1/Fierce Snake![]()
![]()
![]()
Anapatikana nchini/barani Australia
Ni nyoka jamii ya chatu ....achana na vichatu uchwara vya sijui Singida huyu ni habari ya kijijini
Huwa na urefu wa mita 1.8 hadi 2.5 ila pia ikitokea huweza kuvuka hup urefu kama watu aina ya Hasheem Thabeet
Huyu nyoka ana sumu kaliiiiiii
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Niwatakie Usiku Mwema
.......
Ahsate, nawe pia, tukutane kesho1/Fierce Snake![]()
![]()
![]()
Anapatikana nchini/barani Australia
Ni nyoka jamii ya chatu ....achana na vichatu uchwara vya sijui Singida huyu ni habari ya kijijini
Huwa na urefu wa mita 1.8 hadi 2.5 ila pia ikitokea huweza kuvuka hup urefu kama watu aina ya Hasheem Thabeet
Huyu nyoka ana sumu kaliiiiiii
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Niwatakie Usiku Mwema
.......
Hakikatungekua tunakufa wengi
Madame S
Yeah, naifuatilia kwa ukaribu sana, story yake imenitachi, inavutia yaani sana tu.
