Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,324
- 35,832
Mjomba wako anataka kupewa talaka na nani binamu
..hata nimesahau, alikuwa kalewa na analia tu anamung'unya maneno kama mzungu, nilichosikia ni talaka tu.
Mjomba wako anataka kupewa talaka na nani binamu
Binamu obeeee ebu weka hiyo nyimbo nasumbuliwa mie na sakayo huku
Hakutakii mema kabisaHahaha niliishia kucheka tu maana had ukumbuke umevaa koti si mchezo
Madame S
Yeah ninaye mpenzi
Madame S
Tupo kwenye kujuzana zaidiSikujua hii
......
Nilikupea kazi lakini kimya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni wimbo shem sio nyimboT jamaan ukuje huku mkeo kakuchagulia nyimbo
Ndio Madame SOooh kumbe hatuchekani eeh?
Madame S
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hongera sana, vipi hamna mpango wa kupeana talaka hivi karibuni?
Asante kwa majibu sasa ameelewa. Mjomba umesikia?
Nyie mna mahusiano kweli au maigizo na mikwara ya Jf[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ninavyompenda sifikirii kuachana naye leo hata kiama
Huo mpango haupo kabisa
Till death do us apart
Si eti honey Bailly5?
Madame S
So kumbe unadhani tunafake?Nyie mna mahusiano kweli au maigizo na mikwara ya Jf
Kama vipi na mimi nizame
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.....
Ooooh kumbe unajua eehNakutania tu
Balaa la tembo halizungumziki
.....
Interesting.....!!3/Piranha![]()
![]()
Sijui inatamkwa Piranya au lah maana mimi sins undugu na Vasco Da Gama
Wanapatikana huko Brazil na ndo janga lao kuu majoni ukiachilia mbali nyoka aitwaye Anaconda
Ndiye samaki/mnyama mwenye meno yenye makali kama wrmbe ule wa zamani wenye rangi nyeusi na picha ya mamba
Wana uwezo kumuua/chanachana ng'ombe au binadamu kwa sekunde au dakika kadhaa na wakambakiza mifupa(picha zinatisha sijaweka tu kusudi)![]()
![]()
Kuna filamu kibao zimechezwa kumuhusu
Uyaonayp siyo tu action bali yanaakisi makali ya huyu samaki mwenye umbo la kawaida tu kama sato ila janga lake ni kubwa kumzidi hata papa!!
......