Makapuku Forum

Makapuku Forum

5/Hippo
6e2c677f3423f40224a05c0d98aacd9a.jpg
bb29862cebd2e33e2bd816af1509f274.jpg

Kiuhalisia kiboko ni herbivorous yaani anakula majani kama ng'ombe tu ila mara kibao tu keshabambwa akijichana na kitoweo a.k.a nyama
Wanapatikana kwa wingi barani Afrika ambayo huotwapia River horse yaani farasi wa mtoni
Silaha yake kuu ni meno(jaw) na Mara kibao hujeruhi na kuua watu
.....
hiyo picha
 
...,hakuna shida kati yetu, talaka nilikuwa naiongelea ya mjomba wangu anataka kupewa talaka. mimi penzi bado jipya sana yaani tunaitana honey na sweet , mara sugar , dearest na mengine kama hayo, tukianza kuitana majina yetu ya kuzaliwa ujue talaka inakaribia
Talakaa hipiii jamanii
 
2/Box Jellyfish
4f5b31304efbe08970650c0501565c27.jpg
382354d3adeebe8d636a1f31d791da75.jpg
b1ac32d37e7d319b3f589ebd64d3565f.jpg

Anatajwa kama samaki/mnyama mwenye sumu kali zaidi duniani.....mbaya zaidi ana life spam mkubwa na hafi kwa magonjwa
Ana sumu yenye uwezo wa kuua hadi watu 50
Akikugusa tu ndani ya sekunde/dakika kiduchu tu utaitwa marehemu kama hujachukua hatua
Hivyo kama unatumia smartphone ya water proof basi haraka bafilisha status na kundika RIP ili masela wajue ushapata janga
......
Utapata kweli huo muda wa kubadili status
 
Huyu ni "Box Jellyfish" inawrzekana wapo aina tofauti tofauti
Huyu sio wa kumchezea
.......
Inawezekana!

Maana sometimes nilikua naona wanawatoa kule kwenye maji sjui wanawabebaje wana jinsi wenyewe wanajua wanawamwaga nchi kavuau unakuta tu wanaibuka huko wanatoka mbio mbio wanajikuna ukiuliza wanakwambia jellyfish

Endelea kutujuza mengi ya baharini napenda sana kujua mambo megi

Madame S
 
Muziki: Kupumzika ni Muhimu

Hakuna ubishi kuwa KF ni sehemu bora kabisa kulinganisha na majukwaa mengine humu JF, na unajua ni kwanini hili linabaki kuwa jukwaa bora kabisa la mfano? Kama huji nitakujuza leo, hapa ni facts bila farts ( a fart free zone) kwa mujibu wa wataalamu wetu wa utafiti usio rasmi profesa Mndali ndanyelakakomu na dokta mzeewakungoa . Kubwa zaidi sehemu hii ni nzuri kwa sababu wewe upo, yeah wewe unayesoma muda huu uko hapa ni smart sana na unalifanya jukwaa letu kuwa mukide.

Mapumziko ni muhimu wadau, msiseme sijawaambia maana sihitaji kuwaambia the obvious (kitu kinachojulikana wazi). Ukiwa ni mwanafunzi, baba, mama, mfanyakazi na zaidi ukiwa Kapuku unahitaji mapumziko, kujenga mwili na kuuhisha akili ili uweze kuwa timamu na kamili kabisa katika kujenga nchi. Shukurani kwa member wenzetu ambao wameamua kuchukua mapumziko Sakayo , Clkey , Mussolin5 , BlessedHope, husna muba , Tumosa kutaja wachache.

Asante sana kwa mjomba lee empire kutupatia UF, dondoo za BBC, na hadithi, asante shululu kwa magazeti, asante Jimena kwa historia, asante Nyagei kwa matokea na dondoo za michezo, na asante Bitoz kwa kubwa 10 na picha nzuri kabisa. Nyinyi wadau mnatufanya Makapuku tuwe na furaha na waelewa wakati wote, tunawiwa deni nanyi, nasi hatuchoki kusema asante. Karibu sana Madame S hapa KF uwepo wako unalifanya jukwaa hili kupendeza sana. Aunt yangu Shunie unajua sina sababu ya kukusahau kukushukuru kwa kuwepo hapa.

Muziki sasa, inawezekana huupendi sana muziki wa Rock, yeah, ni muziki wa gitaa za umeme zinazopigwa kwa fujo na ni maarufu US na Uropa (Arsenal anacheza Uropa ha hahahaha-chezea namba nne wewe). Ila kuna soft rock hii inapigwa taratibu na utaipenda na ndiyo itatuburudisha leo ikiwa ni dedication kwa mdau mwenzetu Transcend
Burudika na ufurahie gitaa



Asante Sakayo kwa pick of the day, mapumziko mema

Asantee binamu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom