Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
OKSo kumbe unadhani tunafake?
We are trully in love jamani
Madame S
Kila la kheri
Ujue Bailly namjua kabisa
.....
OKSo kumbe unadhani tunafake?
We are trully in love jamani
Madame S
AsanteeOK
Kila la kheri
Ujue Bailly namjua kabisa
.....

Kiswahili ni lugha ngumu ndiyo maana credit tu NECTA haiji kizembeAsantee
Haha unamjua unamfaham?? Maana me ndio ninamjua![]()
Alinambia mnafahamiana
Madame S
Huyu ni shiida6/Great White Share![]()
![]()
Namzunvumzia papa samaki sio Papa mkatoliki wala Papa Wemba au pengine papa utamu
Huyu ni mfalme kule baharini ....tatizo lake ni moja tu akisikia harufu ya damu hKuachi lazima akufanyizie
Silaha yake kuu ni meno yake nakali pamoja na kasi ya kuogelea
Ila hupenda kukaa kwenye kina kirefu hivyo endelea kwenda beach kujidai kama kawa
.....
Huyo ni balaa3/Piranha![]()
![]()
Sijui inatamkwa Piranya au lah maana mimi sins undugu na Vasco Da Gama
Wanapatikana huko Brazil na ndo janga lao kuu majoni ukiachilia mbali nyoka aitwaye Anaconda
Ndiye samaki/mnyama mwenye meno yenye makali kama wrmbe ule wa zamani wenye rangi nyeusi na picha ya mamba
Wana uwezo kumuua/chanachana ng'ombe au binadamu kwa sekunde au dakika kadhaa na wakambakiza mifupa(picha zinatisha sijaweka tu kusudi)![]()
![]()
Kuna filamu kibao zimechezwa kumuhusu
Uyaonayp siyo tu action bali yanaakisi makali ya huyu samaki mwenye umbo la kawaida tu kama sato ila janga lake ni kubwa kumzidi hata papa!!
......
3/Piranha![]()

2/Box Jellyfish![]()
![]()
![]()
Anatajwa kama samaki/mnyama mwenye sumu kali zaidi duniani.....mbaya zaidi ana life spam mkubwa na hafi kwa magonjwa
Ana sumu yenye uwezo wa kuua hadi watu 50
Akikugusa tu ndani ya sekunde/dakika kiduchu tu utaitwa marehemu kama hujachukua hatua
Hivyo kama unatumia smartphone ya water proof basi haraka bafilisha status na kundika RIP ili masela wajue ushapata janga
......
Si ndie Tiger fish huyu?
Akiwa kwenye maji anatoa uzi flani dizain mwembamba sana ukiugusa pia ni unakua kama umekatwa na wembe au kisu2/Box Jellyfish![]()
![]()
![]()
Anatajwa kama samaki/mnyama mwenye sumu kali zaidi duniani.....mbaya zaidi ana life spam mkubwa na hafi kwa magonjwa
Ana sumu yenye uwezo wa kuua hadi watu 50
Akikugusa tu ndani ya sekunde/dakika kiduchu tu utaitwa marehemu kama hujachukua hatua
Hivyo kama unatumia smartphone ya water proof basi haraka bafilisha status na kundika RIP ili masela wajue ushapata janga
......
YeahYeah huyu ni Immortal kabisa niliona wakimchambua kwenye Chanel ya NatGeo wild ni nouma..
Hatarii2/Box Jellyfish![]()
![]()
![]()
Anatajwa kama samaki/mnyama mwenye sumu kali zaidi duniani.....mbaya zaidi ana life spam mkubwa na hafi kwa magonjwa
Ana sumu yenye uwezo wa kuua hadi watu 50
Akikugusa tu ndani ya sekunde/dakika kiduchu tu utaitwa marehemu kama hujachukua hatua
Hivyo kama unatumia smartphone ya water proof basi haraka bafilisha status na kundika RIP ili masela wajue ushapata janga
......
Sawa ukiwa Joto City unitafute
![]()
Huyu ndo tigerfish
Hawafanani kabisa hata kwa rangi
Piranha kama anavyofanana jina na akina Ronaldinho anapatikana Brazil
.......
Huyu ni "Box Jellyfish" inawrzekana wapo aina tofauti tofautiAkiwa kwenye maji anatoa uzi flani dizain mwembamba sana ukiugusa pia ni unakua kama umekatwa na wembe au kisu
Kuna wengine huwasha
Me ni mpenzi wa kuhudhuria beach sana, kuna swimming club moja hawa hua wanakuja na maji vile yakijaa bas wakiogolea wote utawaona wakitoka na kujikuna nahisi sumu zinatofautiana kama vilenyoka wapo ambao sumu zao zinaua within a glance of an eye!! Na kuna ambao unaweza kustahmili na tiba ukapata
Asante leo najifunza kutoka kwako
Madame S
Yeah
Huishi milele....njia pekee ya kummaliza ni kwa kumuua au kummeza hata ukimjeruhi anajiponyesha na kurudi upya
Kamwe haugui
.......
Wewe nakujua unaweza mwishowe kuwa steringiiii si unajua stering hafiiiOh, ile movie kumbe imetiki. Sasa si uniite nami hata niuze nyago tu kidogo naact kama mpitanjia
Ndo ujipangee ...ongea vizur na aunt yako...kwa kweli anko wangu umenifumbua macho, yaani nafurahia kuwa na wewe anko, umenifungua macho. Yaani naiona talaka inaniita kwa furaha.
Sasa nifanyeje anko, si unajua wewe ndo mshauri wangu mkuu ninayekutegemea
Muziki: Kupumzika ni Muhimu
Hakuna ubishi kuwa KF ni sehemu bora kabisa kulinganisha na majukwaa mengine humu JF, na unajua ni kwanini hili linabaki kuwa jukwaa bora kabisa la mfano? Kama huji nitakujuza leo, hapa ni facts bila farts ( a fart free zone) kwa mujibu wa wataalamu wetu wa utafiti usio rasmi profesa Mndali ndanyelakakomu na dokta mzeewakungoa . Kubwa zaidi sehemu hii ni nzuri kwa sababu wewe upo, yeah wewe unayesoma muda huu uko hapa ni smart sana na unalifanya jukwaa letu kuwa mukide.
Mapumziko ni muhimu wadau, msiseme sijawaambia maana sihitaji kuwaambia the obvious (kitu kinachojulikana wazi). Ukiwa ni mwanafunzi, baba, mama, mfanyakazi na zaidi ukiwa Kapuku unahitaji mapumziko, kujenga mwili na kuuhisha akili ili uweze kuwa timamu na kamili kabisa katika kujenga nchi. Shukurani kwa member wenzetu ambao wameamua kuchukua mapumziko Sakayo , Clkey , Mussolin5 , BlessedHope, husna muba , Tumosa kutaja wachache.
Asante sana kwa mjomba lee empire kutupatia UF, dondoo za BBC, na hadithi, asante shululu kwa magazeti, asante Jimena kwa historia, asante Nyagei kwa matokea na dondoo za michezo, na asante Bitoz kwa kubwa 10 na picha nzuri kabisa. Nyinyi wadau mnatufanya Makapuku tuwe na furaha na waelewa wakati wote, tunawiwa deni nanyi, nasi hatuchoki kusema asante. Karibu sana Madame S hapa KF uwepo wako unalifanya jukwaa hili kupendeza sana. Aunt yangu Shunie unajua sina sababu ya kukusahau kukushukuru kwa kuwepo hapa.
Muziki sasa, inawezekana huupendi sana muziki wa Rock, yeah, ni muziki wa gitaa za umeme zinazopigwa kwa fujo na ni maarufu US na Uropa (Arsenal anacheza Uropa ha hahahaha-chezea namba nne wewe). Ila kuna soft rock hii inapigwa taratibu na utaipenda na ndiyo itatuburudisha leo ikiwa ni dedication kwa mdau mwenzetu Transcend
Burudika na ufurahie gitaa
Asante Sakayo kwa pick of the day, mapumziko mema