Makapuku Forum

Makapuku Forum

Aisee nimecheka sana namna ulivyowasilisha hii taarifa basi nikaangalia na picha yaani hapa hadi wanashangaa wanajua labda nimeshukiwa na malaika
Huyo mzungu alikuwa akinya porini au kuogelea mtoni


.......
 
...sijui kama ni kweli, na wengine wanasemaga eti ukiogelea uchi kabisa (skin dive) huyu papa anabaki kukushangaa tu anaanza kutafuta kioo na yeye ajiangalie kama mnafanana. Haya ni maswali huwa tunaulizana kwenye kahawa
Aisee mtaasisi hiyo ni mpya kabisa, nitajoin kwenye kijiwe chenu cha kahawa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom