Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Mchapio uleeeeIt's just a quastion,nothing at all
post using my macbook air using jamiiforums app
Mchapio uleeeeIt's just a quastion,nothing at all
post using my macbook air using jamiiforums app
Na mumewe Sakayoupigwe na nani tena mke mwee
Mzungu huyu hapa katoka usa baby kuachwa kitu kingine unabadilika ujue




KweliKaaaah
Whaaat!Sawa shemela nikipita ntakutafuta
...nitakuomba msamaha pale yeye akiniomba msamaha, umeona ananvyoniharibia sifa zangu njema kabisa! Yaani isingekuwa yeye sasa hivi mimi ningekuwa Askofu anayeukaribia ukadinali

Jamaan sawa mama wawili na baba wawili![]()
![]()
na Shululu baba wawili
Yaani nyie niseme tu ukweli, kiddoooooogo labda wewe huwa unapenda unione nina furaha moyoni ili anko wangu sasa, huyo hata robo hawezi kunitakia mema.
Wewe uko tofauti, tatizo nikiwajumlisha ndo nawaona lenu moja





binamu
Ohooooo......Ulivyo zuzu najua umehesabu hadi mito ya kulalia
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
.......

Ahahha Baba D akasema mtapigwa na mumeoNa mumewe Sakayo
Nashukuru mpenzi, yaani ninavyokupenda hata siwezi kukuchanganya majina kama tabia ya anko wangu.
Mimi ni wewe tu kama mfalme wa Swaziland

AMENI'm glad to know you're good...
Be blessed
.Mchapio uleeee
Shedede upo?Okay,its non of my busness..
Sorry
post using my macbook air using jamiiforums app
Asante Bitoz kwa kubwa kulikoo ...tumejifunza mengii na kujua kipi ni kipi kati ya nile na Amazon....tukimsubiria binamu alewe kidogo ili atupandishie song ebu tupate kionjo ....
Don't mess with kansiime. ...
