Nooop! Sijawa addicted kwa hii kitu, nilikuwa na jaribu kujua how could people behave like, BTW hakuna kitu iko inaendelea saa hii na nimebadiri signature..!
...nitakuomba msamaha pale yeye akiniomba msamaha, umeona ananvyoniharibia sifa zangu njema kabisa! Yaani isingekuwa yeye sasa hivi mimi ningekuwa Askofu anayeukaribia ukadinali
Yaani katika member wote humu ndani ni wewe peke yako uko upande wangu. Nakushukuru sana maana kila mtu ananiona mimi kama mmasai hakuna anayetaka kuniwekea dhamana.
Kama bado uko Moshi pita hapa USA river kwenye mto wa Mungu tupate japo mbili tatu au hata nne tano sio mbaya kila mmoja kwa hela yake
Asante Bitoz kwa kubwa kulikoo ...tumejifunza mengii na kujua kipi ni kipi kati ya nile na Amazon....tukimsubiria binamu alewe kidogo ili atupandishie song ebu tupate kionjo ....