Binamu unapenda shanga jamaanHuyu huyu mmoja niliyenaye, anayewashinda wote maana hashindani na mtu. Nampenda maana anapendeka na kwa kuwa mimi ni mtulivu basi ananipenda bila masharti, mrembo wa kupendeza, anajipodoa anapodoka na mpododo umetuliza shanga a wewe.
minaweza kukesha naandika sifa zake zote
[emoji23] [emoji23] [emoji23] duh! Mbona unashukuru hivyo afande,??Afadhali aisee
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85][emoji35] maswali mengine banaa!
Asante ....nothing to sayNakupenda we Baba jamaan [emoji8]
Binamu umeambiwa na Baba D uniombe msamaha
[emoji3][emoji3][emoji3]Iliii ugunduee nini
[emoji3][emoji3][emoji3]Hiyo sikiliza wewe tuu
AiseeWe muache
Kufa nayo moyoniii[emoji23] [emoji23] [emoji23] exactly i see but i see nothing,
post using my macbook air using jamiiforums app
Hakuna S bila SMtu na Dada yake
Mkataa kwao mtumwaSitaki ujue
KazoeaaObe lazima achanganyikiwe kwa Kweli
[emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji7][emoji8][emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Ulivyo zuzu najua umehesabu hadi mito ya kulaliaChina kuna mito mingii
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
[emoji179] [emoji179] [emoji179] [emoji179] [emoji179]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Obe lazima achanganyikiwe kwa Kweli
Ni DaudiNi Davie hope umefurahi huko ulipo
Ahahhh ila shemela weweAfadhali aisee
Msitu Wa Amazon na mto Wa Amazon viko kwenye nchi 1?1/Amazon River
Upo huko Brazil
Kama unamjua Anaconda basi pia unaujua vizuri huu mto na hivyo siandiki sana
Una urefu wa Km 6992
..
.
.
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti madam
Tukutane kesho
.......
WoyoyooooooooooooHuyu huyu mmoja niliyenaye, anayewashinda wote maana hashindani na mtu. Nampenda maana anapendeka na kwa kuwa mimi ni mtulivu basi ananipenda bila masharti, mrembo wa kupendeza, anajipodoa anapodoka na mpododo umetuliza shanga a wewe.
minaweza kukesha naandika sifa zake zote