Makapuku Forum

Yupi sasa huyo mpenzi wako


Huyu huyu mmoja niliyenaye, anayewashinda wote maana hashindani na mtu. Nampenda maana anapendeka na kwa kuwa mimi ni mtulivu basi ananipenda bila masharti, mrembo wa kupendeza, anajipodoa anapodoka na mpododo umetuliza shanga a wewe.

minaweza kukesha naandika sifa zake zote
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] hivyo vidagaa wamerdhika navyo wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…