Makapuku Forum

2/Nile River
U Unaanzia ziwa Victoria sijui ndo unaishia na umefika hadi Misri ukikatiza karibia kwenye nchi kama tank
Ila wananufaika zaidi Wamisri na Wasudani ambayo nasikia wametusainisha vimikataba vya kichifu Mangungo hivyo wabongo wanayatizamatazama tu maji wakati wenzao wanafua umeme wabongo wanavua tu vidagaa
Una urefu wa Km takribani 6853
......
 
1/Amazon River
Upo huko Brazil
Kama unamjua Anaconda basi pia unaujua vizuri huu mto na hivyo siandiki sana
Una urefu wa Km 6992
..
.
.
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti madam
Tukutane kesho
.......
 
Msaidie binamu yako


Yaani katika member wote humu ndani ni wewe peke yako uko upande wangu. Nakushukuru sana maana kila mtu ananiona mimi kama mmasai hakuna anayetaka kuniwekea dhamana.

Kama bado uko Moshi pita hapa USA river kwenye mto wa Mungu tupate japo mbili tatu au hata nne tano sio mbaya kila mmoja kwa hela yake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…