Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Acha uchocheziMwendelezoooo
Si yaliisha bae... Mbona wataka kuliamsha dudeWewe ndio ulikuwa unampotosha..
Jamaniiii mpenziWhat is your problem?
Janaaa MmmmhAcha tu baba d sakayo jana hajalala ni kulia tu huku T hataki kuelewa badae yakaja kuisha
HeheheeMie tena jamaan basi naomba unisamehe tu si unajua ninavyowapenda
HeeIla mie shemela niliwakuta katikati ya mazungumzo jamaan
Huku na wewe umekimbiaaa na Tumoo nae akaula wa mbuzi... Wakati alikuwa ananiambia kamsalimie shemeji yako....T alikuwa serious jana acha tu Baba D huku sakayo nae ni kulia tu
Mmh T hayajaisha tu unataka huyo mtu akufwe jaman usitufanyie hivyo kwa niaba yangu naomba umsamehe kazi unanipa mie ya kuanza kumbeleleza jamaan jana hatujalalaAsante mkuu
Yataisha dada kuwa na AmaniJamaniiii
HahahaKweli ananisingizia bora umeona
AiseeAki ya yeyeee
Amekuigaa wewe kuliaa etiiiii???T alikuwa serious jana acha tu Baba D huku sakayo nae ni kulia tu
Hata mie nimeshangaa ujue najua yaliishaSi yaliisha bae... Mbona wataka kuliamsha dude
Acha tu dadaJanaaa Mmmmh
Sitakiiii kuamini
Nipo mimi
Nimerudi nimekuta mmeshatoka dadaHehehee
Halafu ukakimbiaa
Mwenzangu....Mmh T hayajaisha tu unataka huyo mtu akufwe jaman usitufanyie hivyo kwa niaba yangu naomba umsamehe kazi unanipa mie ya kuanza kumbeleleza jamaan jana hatujalala
Naamini hivyoYataisha dada kuwa na Amani