Makapuku Forum

Khaa a, hata hili songi nalo unalijua

Hivi mimi na wewe tutaendana kweli? Yaani unajua mambo ya kimungumungu wakati mimi ni mtu wa mataifa.
(Msifanye nikatalikiwa)
Anyway moyoni najua tunaendana kama sumaku , una mvuto unanivutia
....nami nitawafanya watu Wa mataifa kuwa wana

tutaenda tu kidogo kidogo nitakuambukiza mambo ya kimungumungu na utaachana na umataifa
 
Kweli leo jumapili, Asante obe
 
YOSHUA 1

8.Kitabu hiki cha torati kisiondoke kinywani mwako,bali yatafakari maneno yake mchana na usiku,upate kuangalia kutenda sawasawa na maneno yote yaliyoandikwa humo ,maana ndipo utakapofanikisha njia yako,kisha ndipo utakapostawi sana.

Muwe na usiku mwema
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…