Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Ha hahahahaaha, mjomba, supu ya samaki kwa chapati ukishushia na bia kuelewa huwa kunakuja haraka sana na kusahau ni mara moja tu
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Ha hahahahaaha, mjomba, supu ya samaki kwa chapati ukishushia na bia kuelewa huwa kunakuja haraka sana na kusahau ni mara moja tu
NdiooooHivi siliasii ni sababu ya signature
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Ndioooo
[emoji4] [emoji4] [emoji4]Nakuonaaa unatag husna mpendwa wa binamu yanguu
Nipo njema kaka sijui weweUko poa lakiniii
Na kweli leo nimekamatikaa ...ila yote ni wewe
KaribuNimekuja kuchungulia humu
Mwambie tutamkata masikioo[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Niko poa hope na kapuku wenzangu wako poaNipo njema kaka sijui wewe
[emoji4] [emoji4] [emoji4]Ha ahahahahaha, vipi kama watoto walikuwa wangu wakiwa pamoja?
MlizidishaMbona ulikuwa utaniii
WoteeeeNtawanunuliaa wangapiii jamaniiii
Shangaa[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
We sawa ...sema na wewe ipo siku yako kama zako na ntajifanya sijui kusisoma wala kuzielewaa....ila mmoja nimemfanya subject alafu yule wa juu cheusi nkamsolve ...kumalizana na wa kona ndo ikala kwangu ...Tatizo ni kuwa ukifanya ya kuchanganya namba huwa unanisingizia mimi eti sijui hesabu, hata kama nilipataga Z kwenye math lakini X niliiona bila kificho.
Sasa inabidi utumie mbinu mbadala, shululu leo si hayupo kwake, msingizie kuwa ni yeye ndo anahusika
[emoji133] [emoji133] [emoji133]Tatizo ni kuwa ukifanya ya kuchanganya namba huwa unanisingizia mimi eti sijui hesabu, hata kama nilipataga Z kwenye math lakini X niliiona bila kificho.
Sasa inabidi utumie mbinu mbadala, shululu leo si hayupo kwake, msingizie kuwa ni yeye ndo anahusika
Mimi hata sikuweka upuuzi wangu ....nilikuwa nawaona nilishtuka mapemaMlizidisha
Maamuzi tuuMapema hivo ??
Binamu kwani anawezaa ??Woteeee
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4][emoji133] [emoji133] [emoji133]
Umekosaa vyombo au kishika uchumba badoooMaamuzi tuu