Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wewe nenda tuu...
Babe
Am sorry
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wewe nenda tuu...
Babe
Am sorry
Basi akubebe kabisa [emoji23][emoji23]Easy like that..!
Kirahisi hivyo tuu?
MmmhMimi nimeona toka asubuhi una mzukkka...
You just go but don't come back..
LipooooJukwaa letu lipo
Kwani mlikuwa hamjuani jamaan [emoji15]Dp niwewe?
cc husna muba
Na uongo ni dhambiMhhhhhhmhhhhh shemeji ujue leo jumapili
Jioni ya Gospel:Chain Breaker
Karibu Kapuku mheshimiwa katika muziki wa gospel, huu ni muziki kwa wote Makapuku bila kujali unaamini au kuabudu katika madhehebu yapi. Muziki hutuleta pamoja na kwa kuwa sisi hapa jukwaani hatuna gogoro na imani ya kila mmoja, tunaheshimiana basi muziki usilibe (cementing) heshima tuliyojijengea
Leo tumekosa neno Shunie sijue kenda wapi ila sio ishu, naamini utaburudika. Anaitwa Zach Williams toka US akiimba Chain Breaker, unakumbuka wimbo 'ewe mtuliza bhari eeeh'..
Kama nakuonaaKwani mlikuwa hamjuani jamaan [emoji15]
Mbona mapema mkuu?Usiku mwema wakuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo cc hapo chini viipi?!
Tumelikoroga hapa nusu tupigwe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hiyo cc vip
Na hipo siku mtakongotwaa na mmeoTumelikoroga hapa nusu tupigwe
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]....ha ahahhahahaha, si ndo usiku husumbuki kujua majira.
Mpenzi wangu unapenda saa nikununulie?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hurumieni mbavu zangu jamaanIko powa tu don't worry
cc husna muba
Mke mwee we ni mchochezi kama mumeoNzuri naona umemkumbuka zilipendwa wako
Kama yange yange[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]siwapatii picha na binamu yako