Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Nawe pia shemejiUsiku mwema wadau
Nawe pia shemejiUsiku mwema wadau
Nawe pia mkuuUsiku mwema wakuu.
Hivi ile safari ya kg bado tu
Nawe pia dadaUcku mwema wapendwa Mungu awe kinga yetu atuepushe na mabaya yote
Usiku mwema wadau
Hapana binamu safari ipo niamini tutaendaMdau, kuna mtu anaweka kauzibe kwenye hii safari ila wewe acha tu. Niliulamba hadi nguo zikachachia mwilini, nikajifanya ku-Google aunt akaishia ku-giggle.
Hii safari imepingwa kwa muda mrefu sana na wengi tu. Hivikaka nawe si mmoja wa wanaozibia hii safari?
Nimeolewa babu weye..